Nyani Ngabu & Co: Mlio USA na nje ya Africa tupeni uhalisia wa picha hili

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Zipo hisia na tetesi kuwa sisi wenye asili halisi ya Africa hatupati msukosuko mkubwa mkubwa corona isipokuwa wenye maradhi mtambumbuka.
Zipo tetesi pia huko USA jumuia za weusi zinaongoza vifo kulikoni tupeni uzoefu.
Wasalam
cc: Nyani Gabu&Coy

Sent using Jamii Forums mobile app

Angalieni video bbc.com/swahili dira ya dunia wahanga wengi USA ni jamii ya weusi wameweka na takwimu itupe elimu tujihadhari zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom