Mm nakumbuka lile tangazo la Topaz la baba kchonge na mama kichonge. Mida ile ndo napka chai niende skonga. Utoto ule ulikua raha sna, kwa kua hapakua na tv so mda mwng tulitumia kucheza kmama mama na kbaba. Hahahaa halaf mnajfunika kanga baba na mama, watoto wanaenda kuokota kuni.
Watajskia sawa 2 kwan unafkr hawajui kwamba UDOM ni sawa na shule ya kata. Hadi ma lecturer wnywe wanaponda utaratbu wa course zlivyomegwa megwa. Kwa mfano utakuta UDSM kuna course inaitwa Political science and public administration. Ambapo ndan yake kuna Vpengle vngi km democracy and election...
Dogo ananikumbusha miaka ya 1994 wakati nipo shule ya msingi. Zilikua ndio zetu hizo na marafiki zangu. Tukitoka shule tunapita kila nyumba yenye kengele. Tunagonga kengele halafu wenyewe wakija tunakimbia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.