Kitu cha UDOM..

maza atakuwa kasoma shule za kikwete, unasukumwa tuuu, mradi kwenye hotuba aseme "mwaka 2005 wahitimu walikuwa 1240 tumejitahidi mpaka wamefika 12,399 mwaka 2009"
 
BINTI: Mama nimefaulu na nimechaguliwa kwenda UDOM.
MAMA: Hongera mwanangu, nilijua tu utafaulu, na bado nakuombea najua ipo siku utafika chuo kikuu!!!!
mbona sijaona dhamira ya mtoa mada..kwamba mama hajui kifupicho cha udsm na udom au basi tu kuhate wakati ye mwenyewe hamna alichogain?
 
hahaha....! umetisha mother mpaka time hii anajua chuo kikuu ni kimoja nini?
 
mbona sijaona dhamira ya mtoa mada..kwamba mama hajui kifupicho cha udsm na udom au basi tu kuhate wakati ye mwenyewe hamna alichogain?
ni kwamba mama anajua tanzania kuna chuo kikuu kimoja tu so hicho cha udom anadhani siyo chuo kikuu.
 
BINTI: Mama nimefaulu na nimechaguliwa kwenda UDOM.
MAMA: Hongera mwanangu, nilijua tu utafaulu, na bado nakuombea najua ipo siku utafika chuo kikuu!!!!

Not So GOOD. Unafikiri wanaosoma UDOM wanajisikiaje ... think big before you speak or write somrthing
 
Hopefully,huu ni utani tu wala haukipunguzii chochote chuo kikuu cha dodoma....vijana tusijenge chuki...labda kweli mama alikuwa hajui.
Kwani hujaona unamwambia mtu naenda kituo cha mafuta yeye anakurekebisha,unaenda "shelly"?
 
Back
Top Bottom