....................Utaoa nani?

....................Utaoa nani?

mm nitaenda umasain mana tutasaidiana yeye akija kuchoma mkuki kwangu na mm ninaweka bunduk kwake. vipi kuhusu warangi
 
ntaoa mzungu..ninavopenda kunywa litre..kuzama uvinza hata kama sina mtungi wa gesi.. Kitandani analia kwa kuvunja yai.. Sauti za kibantu hazilipi..
 
JF bana utajikuta unamuacha mpenzi wako hivi hivi.~~~
 
Mi ntaoa msukuma hata akikufumania atasema ndhoho tabu mtaendelea Kama kawa
 
Wafipa mwake mwake!... Kwa hivi nilivyo naamini limbwata linanifaa sana .
 
Back
Top Bottom