Recent content by Makylina

  1. Makylina

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mashine za kutotolesha

    Ya mayai 100 bei gan?
  2. Makylina

    JamiiForums Tanzania Msaada nianzie wapi kuwashitaki Airtel?

    Habari? Naomba kuuliza utaratibu upi unatumika kufunga laini za wateja? Maana mi laini yangu imefungwa bila sababu za msingi yaan mtu mkishindwana na wahudum wa airtel mtaani basi yeye anakomesha kwa kufunga laini yako? Laini yangu 0688614931 imefungwa na mhudumu wa airtel eti kisa tu...
  3. Makylina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Badoo & Eskimi pango la wazinzi

    Yupo mmoja sauti haieleweki sijui ni shoga au manzi? Mambo zake ni 0654 626 212
  4. Makylina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yani Halotel wanachokifanya ni kutema mate kushoto na kudhani yatadondokea kulia

    Kwann asilipe mbona anajidhalilisha kwa vihela vidogo? Yaan 8000 ndo ya kujitia aibu hivi?
  5. Makylina

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa T-shirts njooni hapa mchukue pesa

    757299238
  6. Makylina

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa T-shirts njooni hapa mchukue pesa

    Tunahitaji t-shirts: tuwasiliane kwa maelezo zaid kama unazo au una mtu unamfaham anaweza kutusaidia kuzipata. Njoo ukiwa na dondoo zifuatazo: 1. Bei kwa tshirt 2. Hizi bei ni printed au not printed!.(ukiprint tutakupa nembo husika) 3. Unapatikana mkoa gani? 4. Nahitaji tshirt 200 size ndogo...
  7. Makylina

    JamiiForums Tanzania Basi la Majinja baada ya kuamriwa lishushe abiria wote laacha njia na kuuvaa miti

    Huu muandiko kama wa Justin hivi
  8. Makylina

    JamiiForums Tanzania Njoo upate till kwa Tsh 50,000/= tu

    Nilipata dharura mkuu nikawa bush changamoto ya network tigo. Nipo hewan kwa sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Makylina

    JamiiForums Tanzania Njoo upate till kwa Tsh 50,000/= tu

    Ninauza TILL za: 1. M-pesa = 170,000 2. Tigopesa =140,000 3. Airtel money=55,000 4. Halopesa =50,000 5. Ttcl pesa. =50,000 Bei ni nzuri kabisa na ninapatikana Mbeya mjini. Kama unahitaji wasiliana nami inbox au 0672813467
  10. Makylina

    JamiiForums Tanzania Tapeli wa mtandao Faustine Shija anatafutwa kwa RB hii MB/RB/866/18

    Jamani kuna jamaa ni mwizi wa mtandao anaitwa FAUSTINE SHIJA anatumia namba 0759543321. Anajifanya wakala wa voda na tigo halafu anaswap laini za watu na kuiba pesa zilizomo humo pia anatafutwa kwa wizi wa TILL za airtel money na tigopesa. Popote umuonapo please toa taarifa kituo cha polisi...
  11. Makylina

    JamiiForums Tanzania Ninaziuza Till za Tigopesa, Halopesa na Airtel money

    Hujaelewa nini hapo? Ujuaji mwingine bwana unasikitisha wanunuaji utawajua tu na wenye longolongo utawajua kama wewe
  12. Makylina

    JamiiForums Tanzania Ninaziuza Till za Tigopesa, Halopesa na Airtel money

    Ninaziuza Till za tigopesa,halopesa na Airtel money. 1. Tigopesa = 100,000/= 2. Airtelmoney =60,000/= 3. Halopesa = 50,000/= Serious buyer please wasiliana nami PM nikupe namba kwa mawasiliano zaidi. Mi nipo MBEYA JIJINI
  13. Makylina

    JamiiForums Tanzania TILL zinauzwa: vodacom,Tigo,Airtel na halotel

    mpo wakuu
  14. Makylina

    JamiiForums Tanzania Picha ya kufikirisha weekend hii...

    wewe mwenyewe hapo ni mbishi na umebisha mpaka umeenda ku-google vinginevyo ungeishia kuangalia tu hii post. ajabu hutaki sisi tubishe ili tujiridhishe zaid kama wew
  15. Makylina

    JamiiForums Tanzania Hii Mikoa Nani Kailoga?

    habar mkuu?. mi nataka kwenda kuishi mtwara au lindi hasa kijijin ili niweze kujishuhurisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na kilimo kwaajili ya chakula. Nimefanya tafiti ili niweze kuona kijiji kipi niende nikapata majibu: 1. Ng'au 2. mtoni kata ya miteja kwa uzoefu wako ni wapi patanifaa? au...
Back
Top Bottom