Tatizo la mashine za kutotolesha

mafimboo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
2,415
976
Mashine za kutotolesha mayai ni professional activities, ni utaalamu endelevu na sio dormant activities, mashine za kutotolesha vifaranga zimegeuka kuwa dili kwa wajanja wachache, ikumbukwe kuwa ni viwanda vichache sana duniani vinavyoounda mashine hizi the rest ni home made has a za kichina

MTU anaagiza au kununua controller ya joto,unyevu anatengeneza bodi tayari incubator inaingia sokoni MTU anaingiza mashine sokoni bila hata kutest controller ya joto against master thermometer walau kwa siku 20,au labla anaweka mayai na kutumia kama kigezo cha kutest ubora wa mashine, kuna sensor za joto ambazo zinabadilika badilika sana na kwa vile zimeungana na display joto litaonekana kuwa sawa 37-38 degree Centigrade, wakati kiuhalisia linaweza kuwa chini au juu zaidi

Ni lazima kuwa na external master thermometer ambayo itakuonyesha ubora wa controller yenyewe ,baadhi ya sensor huwa zina self heating na hizi ndizo zinazoleta majanga kwenye kuangua,utakuta mayai yote umeyachunguza ni mazuri lakini nusu yanaanguliwa ,pili kwenye kuunda jumba inahitajika utaalamu sio kutafuta plywood unabuni vipimo na kutengeneza hapana hii ni mbaya unachopaswa kufanya ni kujua radial sensor detection ya sensor ya controller yako ndio itakuonngoza kuunda jumba hill ukilipuuza ukasema feni IPO ya kusambaza joto tegemea kuharibu baadhi mayai

Pili kuseti unyevu kunategea na air space ndani ya mayai,unatakiwa use na ratiba ya kuchunguza air space ndani ya mayai ili kuseti unyevu hill ukilipuuza tegemea kuharibu baadhi mayai kwa MTU ambaye ni professional lazima hizi changamoto azitambue na kujaribu kutafuta suluhisho,ikiwemo kutafuta controller bora kabisa,so kukimbilia controller za bei nafuu has a kichina,unaweka mayai 100,unaangua 30,halafu unaanza kupakazia vitu vingine joto ndio linatoa asilimia℅ za uanguaji

Tuchague controller bora
 
MTU sio mtaalamu Sana,je controller bora ataijuaje? Ni kampuni gani inatoa hizo controller bora
 
MTU sio mtaalamu Sana,je controller bora ataijuaje? Ni kampuni gani inatoa hizo controller bora
Thermoregulator za marekani na ulaya na baadhi kutoka China in bora sana,shida in kuwa sio thermo regulator zote zinafaa kwa kuangulia mayai,nyingine kwa ajili ya maabara,kilimo, kusindika n.k,
 
MTU sio mtaalamu Sana,je controller bora ataijuaje? Ni kampuni gani inatoa hizo controller bora
katika hili mr inakubidi mkubaliane na anae kuuzia mashine kwa mfano kama ana kwambia mashine anaiuza kwa 800,000
bac una mkabidhi nusu halafu ifanye kazi kwa wiki 3 mkipata vifaranga basi unamalizia ni ushauri lakini
 
MTU sio mtaalamu Sana,je controller bora ataijuaje? Ni kampuni gani inatoa hizo controller bora
KWA MAHITAJI YA TEMPERATURE CONTROLLER WASILIANA NA NAMI KWA NO 0621215335 Nilihangaika saana mwisho wa siku nikapata so na wewe ukihitaji nitumie sms kwa nambahiyo
 
Incubator technology ni kati ya teknolojia rahisi sana.Ulitaka kiwanda cha kutengeneza incubator?Ukiona hakuna kiwanda ujue wenye akili wameona mbali.Incubator hata lasaba anaweza kudesign. Maana ya kukua kwa teknojia ndio hio.Unakaa nyumbani unaagiza vifaa Amazon au Alibaba kisha unaunda box unaweka vifaa vya umeme incubator tayari. Kwa nini unatakautomated/computerized maisha yawe magumu wakati ni simple tu.

Kuna lasaba aliniundia incubator kwa thermostat ya jug mpaka Leo inapiga kazi vizuri. Maisha ni simple tu brother,wachina wamerahisisha maisha.Ukuta kuikompliketi incubator iwe fully automated kwa kila kitu .Incubator ya mayai 100 utainunua milioni 5 for sure.
 
Back
Top Bottom