Mita yangu imekuwa na tatizo la kukata umeme pasipo kuwa na sababu yoyote, sehemu nyingine umeme unakuwepo tena mnaotumia line Moja lakini kwangu hakuna. Siku nyingine ukikatika unaporudi kwangu haurudi mpaka baada ya masaa matatu au zaidi. Nimekwenda kulipoti Tanesco Mara mbili, Mara ya kwanza...
Hawa Nyanza walifanya kazi nzuri Sana pale Dodoma wakajenga jina, baada ya hapo miradi mingine yote hovyo! Mfano barabara ya Bunda-Kisorya imewashinda kabisa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.