Mume anahitajika

Mume hapatikani kinamna hiyo, kama unasubiri ndoa kinamna hiyo. Utazeeka single, yaani uko ulipo ukose mume hadi uje mtandaoni.

Jitathmini kwanza kuna tatizo gani hadi ukafikia wakukwepe, sidhani huko mtaani hakuna mwanaume. Tatizo lipo kwako
una mawazo ya 1700 kaoge
 
Awe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38
Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
Waume za watu sitaki, na ukinijaribu sitakujibu
Mi Nina 40, huwezi kunifikiria?
 
mi

afya yangu ni njema ila akitaka tupime sio shida na kama ye ni HIV + pia sio tatizo kikubwa upendo kwani kuna washauri wa jinsi ya kuishi na kupata watoto salama mi naitaji tu upendo wake
Duuh! Umri umekuacha kinoma mpk umechanganyikiwa yaani. Upo tayari hata mwenye ngoma ili mradi awe na upendo! ? Hadi umri huo hujawahi kupendwa?? Na menopause ndiyo hiyo inapiga hodi. Pole sana.
 
Sidhani kama kuna reason ya kuja kwenye social network na kutafuta husband , labda kama umechelewa sanaaaa. Pia unaweza tafuta kijana/mwanaume huko uliko na uka create conducive Environment ya kumwa tract akakupenda na mkayajenga maana upendo uambukizwa & kufundishika... Ila huku kwenye social media utakwazika tu dada yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom