Love is crazy mzee nisamehe tuuHow old are you?
Nipe maoni yako plzPole sana.
Dahhhh....
Nimrjikuta nawaza, alafu mwisho nimesikitika tu aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaoe Ntuzu Mzee baba Kuna watoto wa kinyantuzu wametulia Sana, vinginevyo Kama huna ng'ombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la kiwaki acha kuzingua ndo maswali gani hayo...
kupata demu ni rahisi ila mke ni mtihani sana ,ila nashukuru kwa maoni yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli watu wazima wamenielewa
Kuwa kidogoSwali la kiwaki acha kuzingua ndo maswali gani hayo...
121.
Hii ni id yangu mpya ya 4 mm jf tokea 2009 kama ujui nishapigwa bun zaidi ya 3 ww jf 2012 unajitia mjuaji acha izo ww hii ni id yangu ya 4 sasa kama ujui..
Aisee umeongea ukweli mwamba mimi siko ivyo kabisa sijui kwanini najikuta namhitaji yeye tuu
Sent using Jamii Forums mobile app