Recent content by Makuta

  1. M

    JamiiForums Tanzania RUGE tuamuangalie upande wa pili

    Mijitu mingine bwana! inaacha kufanya yao inajishughulisha na ya wenzao.
  2. M

    JamiiForums Tanzania DUTERTE: Huwa Navuta Bangi Ili Nisilale

    Hapana siyo udini,anayesema ni udini ndio anaendekeza udini.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda na Mjasiriamali Carol Ndosi, wana bifu la kimya kimya?

    Wenye majina ya Ndossy hawatokei Kilimanjaro,wenye majina hayo ni wenyeji wa Mkoa wa Arusha katika wilaya ya Meru maarufu kama Wameru,ndugu zao ni kina Kaaya,Nassari,Sumari,Urio,Ayo,Nanyaro,Sioi na wengineo kwa hiyo kwa jna lake tu huyu Dada atakua ni Mmeru tu wala si mwenyeji wa Kilemakyaro.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuusema ukweli mchungu, Pamoja na unyonyaji wa Clouds FM lakini hawawezi kushushwa na yeyote hata awe WCB

    Nazi haiwezi kushindana na jiwe hata siku moja. Diamond na WCB yake bado ni wadogo sana katika Industry ya Media. Wana mengi ya kujifunza badala ya kutaka kuanza kushindana na waliomtangulia. Siku zote aliyekutangulia amekutangulia tuu,wajipe muda kujifunza nchezo. Wakileta kujua...
  5. M

    JamiiForums Tanzania UKIMWI kwisha habari yake!

    Kiswahili hakijaletwa na waarabu,waarabu walikuja na kiarabu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi (za awali) kwa CHADEMA kwa uamuzi mgumu dhidi ya Kubenea na Komu

    Absolutely right
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi tuna Private Investigators Tanzania?

    Nyie mnaosema hayo mambo ya PI hayaruhusiwi hapa kwetu mbona kama mnaongopa? Nakumbuka IGP mstaafu Harun Mahundi alikuwa na kampuni yake ya upelelezi pale jengo THB zamani jirani na NBC posta ground,ina maana alifungua kampuni kinyume na sheria? Na pia Inspirational speaker Bwana Chris Mauki...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kenya's Silent War against Tanzania OR Simply Jealousy (Wivu wa Like)

    Daah! baadhi ya watanzania mpaka mnaboa,yaani shughuli yako unataka mwenzako aivalie kibwebwe? Hebu acheni ubwege wa kulia lia mambo ya kijinga. Mtafanya hao wakenya wawadharau sana kwani ujinga kama huu ulioandikwa hapa,mtazidi kupata tabu tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania TRA Tanga, nihurumieni jamani

    Vitumbua nayo ni biashara kama biashara zingine, tatizo lako unaitazama kwa jicho la dharau ndio maana wengi wanabaki walipo,itakuwaje hapo baadae mtaji wako utakuwa mkubwa na unataka kuiendesha biashara yako kisasa ( Kwa mf:Omar Ndama Bites and Snacks) jambo linalohitaji ufuate taratibu za...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TRA Tanga, nihurumieni jamani

    Watakuelewa,ni juzi tu hapa wamewasamehe wafanyabiashara kibao ambao madeni yao yalionekana hayalipiki,So hata wewe ukienda ukawaelezea tatizo ni nini watakuelewa tu,kwani wamekuwa wakilaumiwa sana siku za hivi karibuni ya kuwa wanawabambikizia watu madai makubwa ya kodi na wao wanataka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba wapalestina hata wakiuwawa na waisrael pale sio kwao warudi walikotoka

    Huyo anaonekana Myahudi mweusi mwnye misimamo mikali,hasikii wala haambiwi kitu na hataki kuelewa kingine zaidi ya kile alichoaminishwa,kwa hiyo ndugu huo ukombozi unaotaka akombolewe sijui ni ukombozi wa aina gani utamkomboa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NSSF, Pro. Kahyarara na kumteua William Erio

    Haya ni mambo ya kiserikali,mambo yako ya kikatoliki na kidini peleke huko kwenye majukwaa yanayostahili.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NSSF, Pro. Kahyarara na kumteua William Erio

    Unawashwa wewe si bure ,mtafute wa kukukuna.
Back
Top Bottom