Recent content by makpridash

  1. makpridash

    JamiiForums Tanzania Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu.

    Nakuunga mkono mkuu We will never accept destruction. Politicians will always be oir enemy
  2. makpridash

    JamiiForums Tanzania Hakuna biashara pasua kichwa kama biashara ya Bar

    Thinktank
  3. makpridash

    JamiiForums Tanzania Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu.

    Mkuu rushwa ipo kila eneo, rich and poor everywhere, poor education as of now, rural to urban migration is of speed now. Dah acha niishie hapo. Peace is just words.do you think there is justice kule mahakamani? Labda MH Pascal Mayalla ajibu
  4. makpridash

    JamiiForums Tanzania Hawa trafiki polisi wanaposimamisha daladala wanataka nini

    Tuliza nyap mkuu
  5. makpridash

    JamiiForums Tanzania Hawa trafiki polisi wanaposimamisha daladala wanataka nini

    Nimepanda daladala uelekeo flani yaani daladala imepigwa mkono mara 7 sijii nini kinaendelea
  6. makpridash

    JamiiForums Tanzania Mjusi katika tafsiri ya kiroho na ulimwengu wa giza

    Ndiyo. Kisayansi: hakuna ushahidi kwamba mjusi wa nyumba anayeingia ndani ni ishara ya uchawi, pepo, “ulimwengu wa giza,” au jambo baya. Kimaumbile: hupanda ukuta kwa sababu ana uwezo wa kushikilia kwenye nyuso wima, na mara nyingi huingia nyumba kutafuta wadudu kama nzi, mbu na vipepeo...
  7. makpridash

    JamiiForums Tanzania Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

    Hongera sana sana. Nakubaliana na mdau aliyesema platform ya kupata feedback ni muhimu 100 perceee. Niliishafanyakazna na jamaa kwa ajili ya kumpa feedback pekee nashangaa hakunipa hata shkran, alivyotusua, akalala mbele. Kumbuka kutoa sante usiondoke na laana za waja. Weka Kwenye TikTok...
  8. makpridash

    JamiiForums Tanzania Ninaishi KIBAHA, Shughuli zangu ni Kariakoo. Lift inalipwaje, kama Asante?

    Hii point kubwa pia..
  9. makpridash

    JamiiForums Tanzania Ninaishi KIBAHA, Shughuli zangu ni Kariakoo. Lift inalipwaje, kama Asante?

    Kupigana miti wapi na wapi
  10. makpridash

    JamiiForums Tanzania Ninaishi KIBAHA, Shughuli zangu ni Kariakoo. Lift inalipwaje, kama Asante?

    Mad umeongea vzr sana
Back
Top Bottom