makpridash
Member
- Sep 18, 2026
- 59
- 102
Carrick sio kocha
Hana mbinu
Hana mkakati
Hana akili
Hana mipango
Hajui kitu
Hana mbinu
Hana mkakati
Hana akili
Hana mipango
Hajui kitu
ok.🐒Carrick sio kocha
Hana mbinu
Hana mkakati
Hana akili
Hana mipango
Hajui kitu
Tatizo la United linaweza kuwa ni zaidi ya kocha. Hii hii timu msimu uliopita ndiyo ilikuwa inacheza vizuri japo huwezi kusema walikuwa kwenye top level. Aliyeondoka ni Casemiro tu. Yes, hawaonyeshi kucheza pattern au mfumo fulani na wako slow na pia hawako ng'ang'ari ila hii imekuwa ni kama tabia ya club.Carrick sio kocha
Hana mbinu
Hana mkakati
Hana akili
Hana mipango
Hajui kitu