Recent content by makoye sr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shilole na Shishi Foods: uvivu wa kujiendeleza unaua vipaji!

    Kiswahili kimetuchelewesha sana, juzi nilimwona mtume mwamposa anahubiri Uganda kwa kiswahili kwenye mkutano mkubwa wa injili wakati waalikwa wenzie walimwaga kingereza kwa uhuru kabisa, nashauri kwa mwenye uwezo peleka mtoto wako English medium atajiamini sana maishani
  2. M

    JamiiForums Tanzania MISS U MREMBO SERAN

    Basi tumtukuze Mungu kwa kumuumba na sifa hizo za kipekee seran
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji ampa kipondo kikali kondoo wake kanisani

    Hakuna mchungaji hapo, hana busara uvumilivu na hekima ambazo mchungaji wa kweli anatakiwa kuwa na sifa hizo
  4. M

    JamiiForums Tanzania MISS U MREMBO SERAN

    Aura ni nini mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afunga Mkutano wa Makambi wa Waadvenstista

    Hongera sana kwake, huyo ndo president ajae
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu azidi kuitambia Iran akiwa juu ya mlima wa Hermon nchini Syria

    Ama kweli Netanyahu ni mwamba, Irani akipigwa marekani analipiza kisasi kwa kupiga waarabu Israel haigusi maana anajua moto wake si wa kawaida
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kweli ni ngumu! Mtangazaji wa Crown FM apata homa akiwa anawahoji wageni waliomshtukiza studio

    Huyo hana pesa za kumpeleka mtoto wake huko English medium haiepukiki
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kutokujua Kingereza kumeongeza ujinga na uduni wa fikra kwa Watanzania

    Naunga Naunga mkono hoja
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afarijiwa na Mwamposa, Kapola

    Ok sawa, wamefanya vyema kwenda kumfariji mkuu wa nchi, hongera kwao
  10. M

    JamiiForums Tanzania NJombe: Mchungaji wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G) adaiwa kutotimiza vigezo vya huduma, kanisa lafungwa

    TAG watakuwa wamemshtukia huyo mchungaji pengine wameona ana viashiria vya kuuza mafuta maji ya upako nk Tag wako makini sana hata huku kwetu kuna mmoja wamemwondoa kanisani kwa tuhuma kama hizo, Cha ajabu amesepa na washirika wote akaanzisha kanisa pembeni
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

    Paul christian makonda
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mmemuona Freeman Mbowe kwenye ‘suti sare’ na Mawaziri wa CCM?

    Mbowe ni mzalendo sana, maendeleo hayana chama rip magu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watu Wenye Ushawishi mkubwa katika Historia

    Martin Luther alikuwa mjeruman na Martin Luther king ni mmarekani mweusi hakuna mwafrika hapo
Back
Top Bottom