unauliza majibu?Yesu ni Mungu kusamehe dhambi ni sehemu ndogo sana ya kazi zake halafu kukuchanganya zaidi yesu alikuwepo kabla hata ya kuubwa kwa dunia infact ndio aliyeumba kila kitu Yesu ndio mungu mwenyezi
hata hao wa mwanza nao wana roho mbaya ila ukweli lazima usemwe kuwa wanawake wenu ni wauwaji ndiomaana hata nyie mnawakimbia sikuhz au kama una jiamini kaoe kwenu machame tuone
kawaida ya watu wa kaskazini tujiulize maswali je kwanini huyu binti alikuwa hana baba?? au baba yake alishafariki akabaki na mama yake nini chanzo cha kifo cha baba yake?? je huyu binti sio mmachame??,au mama naye alikuwa analipa madhambi yake ya huko nyuma?? tukumbuke lile unalolipanda ndio...
i was joking kaka kuhusu uombaomba lakini hii ni vita ya ndani kwa ndani anayetafutwa sio ndugai yupo anayetakiwa ashushwe kabla ya 2025 na wewe unamjua na sishangai ndugai akawa katumwa kutibua hali ya hewa hivi kwa lengo la kuja kumuangunsha mtu fulani fulani hv na wewe unamjua but your...
you're Contradicting Yourself as the bible says God is not the author of contradictions/confusion 1 Corinthians 14:33 now to contradict you effectively I will be putting also the verses you quote above with another verse
1. Numbers 23:19
“God is not a man, that He should lie,
Nor a son of man...
correct and to cement my point is, Jesus (Son of Men) his tasks started from the day he was born to the day he died on the cross mission accomplished!! the sonship started in marry's womb and ended on the cross, Jesus the God Almighty he is eternal God he has no Beginning either ending, that's...
OK tatizo lilianzia bustan ya Eden wakati zambi ilipoingia kwenye kizazi cha binadamu kupitia hawa na adam (Hope you know the story) baada ya pale Mungu alikosana na mwanadamu lakini akaweka utaratibu wa kujipatanisha na wanadamu kupitia kafara ya damu na nyama,aliweka pia list na aina ya...
Only one Jesus brother don't get confused by that man son of merry who was called Jesus that was just a mediator between man and God and he was called the son of God he took NAME,POWER, WISDOM,KNOWLEDGE from his Father JESUS and if we say Jesus is alive to this day we mean GOD ALMIGHTY,
You...
Umeuliza kwa usahihi zaidi kwamba je Yesu ni asilimia 100 MTU au asilimia 100 Mungu!,Jibu ni NDIO na HAPANA!!! sasa swali lako halitaki uwe biased na msimamo wa dini au dhehebu lako au ubishani wa kichwa chako wewe soma kwa makini ninachokwenda kukujibu halafu chunguza maandiko pia yanasemaje...
unaweza ukawa mtanzania na bado Tanzania usiijue na hutakaa uijue kamwe! sisi tupo tofauti na nchi zingine afrika we hushangai hatujapigana wenyewe kwa wenyewe for 50 yrs??,chaguzi zinakuja,zinafanyika watu wanaibiwa kura mshindi anatangazwa na mambo yanaendelea kama kawaida??,raisi anamaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.