Recent content by makorijr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    Sasa ninaona kwa nini wasanii wanasusia Kanumba day, huyu mama sio!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mshikaji tuliokutana Lushoto mbona hujani PM??

    Kashasema anataka watengeneze setern bond, au hujaona!!?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ninaziuza Till za Tigopesa, Halopesa na Airtel money

    Check pm, respond
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Kuwashambuliwa victims sio sahihi, wanaowafanya kuwa single mothers ni sisi wenyewe!! Kuwaheshimu haikupunguzii chochote!! Poleni mlioguswa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Daraja la Selander la Jijini Dar es Salaam

    Mbona unawashambulia wenzako wanaochanganya mambo ya taaluma na siasa!!? Sidhani kama kuna swala la kisiasa kwenye uzi huu!! #Wewe utakua ndugu wa malaika mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

    Ana uhuru wa kuchagua, kumwandikia magazeti sio ishu!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Manyara: Rais Magufuli azindua Ukuta wa Mirerani uliojengwa na JKT, ampa milioni 100 mgunduzi wa Tanzanite

    Roho ya kuponda kila kitu kwa sababu tu kafanya flani pia inatusumbua, Hicho kidogo kitamsaidia!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    Majibu mengi humu yanaonesha ushangiliaji ama upigaji vigelegele kwa pande mbili, hii haitatujenga!!! Heri ya pasaka wakuu!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    Wakati mwingine imetupasa kufikiria mengi zaidi, mabepari mara zote wamekua wakitukandamiza katika nyanja nyingi sana, wanafanikisha hili kwa kiasi kikubwa kwa kututumia sisi wenyewe!! Ikiwa mkataba ulivunjwa kuna sababu za kuuvunja, ikiwa usingevunjwa na barabara zikaendelea kutengenezwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    Mwanzoni alipata nyaraka kuhusu hili sakata mapema sana na akamwaga ukweli tukajua, kwani saivi nini kimetokea hadi asijue!!? Ama na yeye wazungu wamemtema tena!!?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Inauma sana: Mke wa jirani yangu anachepuka

    Uchepukaji umeshakua kitu cha kawaida siku hizi, sio wanaume sio wanawake, lkn kuna msemo mtaani,,,wake za watu wamekua cheap zaidi ya wasichana. Mkuu angalia hata wewe unawez a kuwa unapigiwa kwa style nyingine
  12. M

    JamiiForums Tanzania Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

    Id yako tatizo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

    Id yako tatizo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Niko Dar naomba kuwasiliana na wewe, ikiwezekana kwa simu nahitaji kuanza
Back
Top Bottom