Recent content by Makonsigwa

  1. Makonsigwa

    Uhamiaji Badilikeni: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Zilizoshindikana. Safi kabisa. Tatizo la mdau limeshindikana? Alijaribu vipi kulitatua pale likashindikana?!
  2. Makonsigwa

    Uhamiaji Badilikeni: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Kuja kutema nyongo huku kabla hujafanya jitihada za kupata majawabu hukohuko naiona kama kutengeneza lawama zisizokuwepo. Pengine kuna issue mahususi alielekezwa aitekeleze, Ila yeye ili ionekane kanyanyaswa anakimbilia JF. Tungeambiwa na jitihada za kuipata/kuidai haki take ziliishia wapi...
  3. Makonsigwa

    Uhamiaji Badilikeni: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Mshachukua hatua zipi nyie wenye exposure mlipokutana na hizi kero? Mlisubiri kuja Julia huku? Tunatatizo mahala
  4. Makonsigwa

    Uhamiaji Badilikeni: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Mwongo hana rangi aisee. Kakimbilia Jamiiforums na kuliacha tatizo palepale Uhamiaji, kama kweli lipo. In short anataka tuamini majungu
  5. Makonsigwa

    Uhamiaji Badilikeni: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Sijakutana nazo/nayo. Na popote ninapokutana na kero katika huduma za serikali najitahidi kupata suluhu palepale na sio kuja kutatulia tatizo Jamiiforum.
  6. Makonsigwa

    Uhamiaji Badilikeni: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Idara ile naamini ni kubwa yenye viongozi. Malalamiko haya wamefikishiwa yakiwa bado 'hot' na wakashindwa kuyatatua? Nahofia kusiwe na kukuza mambo kusiko sahihi
  7. Makonsigwa

    Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

    Mwisho wa andishi lako umeharibu kila kitu. Umeonesha jinsi ulivo mkabila aise
  8. Makonsigwa

    Kondomu zaadimika mitaani,tatizo nini?

    Duh! Unazihitaji sana kiasi cha kutuletea bandiko? Si achana tu na michepuko?
  9. Makonsigwa

    Membe for presidency? That’s just another political masturbation

    Kinyume cha masturbation ni nini tena? Nataka kuchangia
  10. Makonsigwa

    Andrew Chenge ni wakati wako sasa

    Waiting
  11. Makonsigwa

    JPM ni kweli alisema hivi?

    Waiting
  12. Makonsigwa

    Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Homework like piece of work. Umenikumbusha mambo ya shule, tulivyohusianisha theories and what is on ground. Umefanya vyema japo sijui kama uko sahihi
  13. Makonsigwa

    Makontena ya RC Paul Makonda yapigwa mnada Bandarini

    Asilimia kubwa in vifaa vya shule. Asilimia ndogo ni nini? Hiyo ndo tunaitaka
  14. Makonsigwa

    Rais Magufuli mfukuze kazi huyu mtu..

    Why should Makonda be kicked out? Hujatoa hata sababu moja yenye uthibitisho! Namchukia Makonda as a person lakini natamani nipate his evil deeds with concretness in it ili nisimame boldly kumsema atoke! Nyoote hamnipi
Back
Top Bottom