Andrew Chenge ni wakati wako sasa

Andrew Chenge ni wakati wako sasa

Tofauti na vile wengi wanavyokuchukulia mimi ni miongoni mwa watu
wanaokuamini, wewe ni Mjanja na msomi mwenye hadhi pia, naamini
kama utashika hiki kijiti tutasonga mbele.

Wakati umefika sasa wa kutumia elimu yako kuipeleka Tanzania kule Tunakohitaji
Chenge tunakuhitaji 2020
Sasa mafumbo ya nini? ID fake bado unaandika mafumbo, Kiti gani unataka ashike?
 
Hana ubora wala ukiboko wowote

CCM hutumia watu kuiba hela kutoka hazina, wahusika hulindwa kwa nguvu zote

CCM wamepitisha fedha za wizi kutoka hazina kwa msaada wa Chenge kama mwanasheria na Rostam Aziz kama mtunza hazina wa CCM wakati huo ... kupitia mikataba Tata na fake

EPA
Pagoda
Deep green
Escrow nk

Hivyo Huwezi kumtenganisha Chenge na madhambi ya ukwapuaji fedha wa CCM hasa nyakati za uchaguzi

Ukimpeleka Chenge mahakamani ujuwe CCM inaumbuka, siri zote anazo Chenge hivyo CCM Haina ujanja kwa Chenge
Naongea kitu kingine wewe ulaleta msongo wako wa mawazo yaliyogandamana. Mimi nazungumzia ubora wake wa kudraft maneno ya kisheria na nilishuhudia wakati wa kikaohicho cha maazimio ambacho na yeye alitajwa kama mtuhumiwa.. lakini kwa kuwa bunge zima wakiwemo wapinzani vigaga wa sheria kushindwa kupangilia maazimio hayo katika lugha ya kisheria aliliteka tena bunge yeye na kuwasaidia namna ya kuyapangilia maazimio hayo
 
Unaelewa bunge ni la ccm? Vyovyote mwanasheria wa upande huo atawakilisha hoja zake atawezedheshwa kibunge

Fahamu tu kwamba akina Lisu na hata Mdee wameshatoa miongozo mikubwa yenye maana na tija kitaifa lakini imekumbana nachangamoto za vilaza wa CCM na kuonekana sio kitu

Narudia mwizi ni mwizi tu
1. Mzee wa vijisenti...... walishindwa kumuadabisha sababu aliwaambia hivi vyangu ni vijisenti, alimaanisha anawajuwa wezi halisi wenye senti na masenti

2. Huyu huyu mzee aliwagonga wadada kwa maslahi yake ilkuziba makashifa yake

Uzito wa mwanasheria chenge unabebwa na fursa kubwa ya kuzijuwa siri za wizi wa CCM takriban zote. Hivyo CCM nikukubaliana tu na nyimbo zake otherwise wasiojulikana watumike sio vinginevo....mahakamani CCM lazima waumbuke.

Alishawaambiwa yupo wa kumshitaki na kumpeleka mahakani Ila wakumfunga hayupo kwenye tuhuma za UFISADI.... sababu anawajuwa mafisadi halisi ni CCM yeye alikuwa muwezeshaji tu.

CCM..... wakanywea
 
Huyu jamaa kiboko!!! walimtuhumu kwenye escrow katika kile kikao cha kupitisha maamuzi nakumbuka kilienda mpaka usiku kabisa akina Lisu wakachoka na kushindwa nini cha kufanya, basi ikabidi yeye tena awe anawashauri namna ya kuandika yapaswayo kutekelezwa na serikali pale nilimnyooshea mikono.
Huyu mwamba ndio alienda Harvard kusoma sio kucheza mwamba anajua mpaka anakela
 
Unaelewa bunge ni la ccm? Vyovyote mwanasheria wa upande huo atawakilisha hoja zake atawezedheshwa kibunge

Fahamu tu kwamba akina Lisu na hata Mdee wameshatoa miongozo mikubwa yenye maana na tija kitaifa lakini imekumbana nachangamoto za vilaza wa CCM na kuonekana sio kitu

Narudia mwizi ni mwizi tu
1. Mzee wa vijisenti...... walishindwa kumuadabisha sababu aliwaambia hivi vyangu ni vijisenti, alimaanisha anawajuwa wezi halisi wenye senti na masenti

2. Huyu huyu mzee aliwagonga wadada kwa maslahi yake ilkuziba makashifa yake

Uzito wa mwanasheria chenge unabebwa na fursa kubwa ya kuzijuwa siri za wizi wa CCM takriban zote. Hivyo CCM nikukubaliana tu na nyimbo zake otherwise wasiojulikana watumike sio vinginevo....mahakamani CCM lazima waumbuke.

Alishawaambiwa yupo wa kumshitaki na kumpeleka mahakani Ila wakumfunga hayupo kwenye tuhuma za UFISADI.... sababu anawajuwa mafisadi halisi ni CCM yeye alikuwa muwezeshaji tu.

CCM..... wakanywea
Mie nakuelewa sana
 
CHENGE ANA MAFAILI YOTE YA UFISADI NCHI HII NA WEZI WOTE WA CNHI HII ANAWAJUA NJE NDANI TENA KWA USHAHIDI, NI SAWA NA ALIYEWAHI KUWA BOSI WA CIA EDGAR HOOVER ALIYEOGOPWA NA MARAIS WOTE WA USA KISA ALISHIKILIA MAFAILI MACHAFU YA VIONGOZI WOTE HIVYO MTEMI CHENGE MWACHENI ALE VITU VYAKE TARATIIBU ILA ILE TABIA YAKE YA JOKA LA MAKENGEZA NDO TABU KIDOGO LAKINI MWISHO NI KWAMBA WASUKUMA KUSHIKA NYAZIFA KUBWA HAWAFAI
 
Naona upinzani wanatafuta option ya pili baada ya ile ya Kwanza kukosa nguvu.
 
Tofauti na vile wengi wanavyokuchukulia mimi ni miongoni mwa watu
wanaokuamini, wewe ni Mjanja na msomi mwenye hadhi pia, naamini
kama utashika hiki kijiti tutasonga mbele.

Wakati umefika sasa wa kutumia elimu yako kuipeleka Tanzania kule Tunakohitaji
Chenge tunakuhitaji 2020
Naunga mkono hoja. Hata mimi Chenge namkubali sana.

P
 
Wakati wake wakutufanyaje ? Wee mleta Uzi....mbona michezo yako ya hatari hatari tu
 
Huyu jamaa ni jizi kubwa (jambazi kuu)
Sema jamaa katushinda akili Watanzania woote mil 55 ndio maana hatuwezi kumpeleka mahakamani.

Ningekuwa mmoja wa wasiojulikana mimi ningetumia nguvu tu nisingempeleka mahakamani wala nini ningefanya umafia tu nikamteka.. maana jamaa kwa diplomasia hatumuwezi

‍♂️‍♂️‍♂️
 
Hata kama ana akili za Einstein tunazungumzia Uongozi. Kwa kuwa kiongozi hafai kabisa, sema ndio nchi zetu hizi zina uhaba wa watu wenye uwezo wa kufikiri na viongozi. Lakini Chenge kwenye tabaka la watu wenye akili ni sawa na mtu aliejipaka kinyesi. Sijui unamuitaje mtu kama huyo, kibaya Zaidi anajivunia kuchezea kinyesi. Hebu labda tujiulize tafsiri ya kuwa na akili ni nini!!!! Hii kusoma darasani hata kama ulisoma Harvard kama elimu hiyo haikukufundishi baya na zuri, wema na ubaya sioni maana ya elimu hiyo. Ni mjinga tu aliepoteza muda wake kupata elimu mwisho wa yote hajafanya lolote.
 
Back
Top Bottom