Makontena ya RC Paul Makonda yapigwa mnada Bandarini

Pole Sana mhe Magufuli hata kama unamoyo gani wa kuitakasa nchi,bila CCM kuondoka kamwe hautaweza kwa kuwa CCM ndiyo kichaka cha manyang'au wakuitafuna nchi.
 
Dr. Mpango Ni Mzee wa Sheria

Sheria haisemi hivyo

Mara ya Mwisho yakikosa wateja yanagawiwa Kwa kadri atakavyoona inafaa

Tunaweza kugawa Kwa Shule kadhaa Kama vile Chatto Secondary School Na kwingineko
Mpango simpendi kabisa, very soon ataondolewa kwenye hiyo nafasi, kapwaya sana, hana weledi
 
Siyo kwamba watu wanaogopa laana. Ila kwa sababu huu mchezo umetawaliwa na siasa za jiwe na mwanaye mpendwa....
Siasa, siasa, siasa... ndo imetufikisha hapa.

Alafu hizo fanicha zenyewe hazina quality ya kustahimili mazingira yetu ya Tz. Nimeshaona kwenye taasisi nyingi huwa hazidumu. zikivutwa vutwa mara kadhaa zinaanza kuvunjika hovyo hovyo
 
Kelele zote kumbe thamani ya container zote hizo ni sawa na marudio ya jimbo moja tu! Hii ni.kuonyesha kiasi gani uchaguzi wa marudio unatufilisi!
 


Mnada wa mali zilizomo ndani ya makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda unaendelea na tayari wateja wameshakagua bidhaa na wanashindana kununua

Asilimia kubwa ya bidhaa zilizomo kwenye makontena hayo ni samani za ofisini kama vile viti, meza na makabati

Itakumbukwa kuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango aliagiza makontena hayo kupigwa mnada licha ya RC Makonda kutoa vitisho kuwa atakayenunua vitu vilivyopo kwenye makontena hayo atapata laana kali

Mnada wa Makontena hayo unakuja ikiwa ni baada ya RC Makonda kushindwa kulipia kodi ya Tsh. Bilioni 1.2

Ha-ha-ha-ha yaani bidhaa kumi tu duh....
 
Back
Top Bottom