Kondomu zaadimika mitaani,tatizo nini?

Kondomu zaadimika mitaani,tatizo nini?

Si mmeambiwa mzae tu, hakuna haja uzazi wa mpango, ndio maana hatuagizi condom, ukipatwa na gonjwa la zinaa itakuwa ni ajari kazini tu, we jipigie kavu kavu tu.
Wizara ya Afya, Bohari ya Dawa (MSD) na mamlaka zinazohusika mnaweza kutuambia shida ipo wapi mpaka kondom zimeadimika mitaani?

Kila duka la dawa ukiingia unaambiwa kondom zimeisha, ni mwezi wa pili huu sasa kumekuwa na hii changamoto. Mnataka na sisi watumia kondom tuombe kikao na raisi ndio mtukumbuke?
 
Mbona mimi ninazo nyingi sana.

Nitafute nikuuzie angalau tatu
 
Kondomu ziliadimika tangu alipoondoka balozi wa jumuiya ya Ulaya zilizokuwa zikitumika baada ya hapo ni mifuko ya Rambo Sasa imepigwa marufuku ndio maana huioni
 
Wizara ya Afya, Bohari ya Dawa (MSD) na mamlaka zinazohusika mnaweza kutuambia shida ipo wapi mpaka kondom zimeadimika mitaani?

Kila duka la dawa ukiingia unaambiwa kondom zimeisha, ni mwezi wa pili huu sasa kumekuwa na hii changamoto. Mnataka na sisi watumia kondom tuombe kikao na raisi ndio mtukumbuke?
Matumizi ya plastic yamezuiwa
 
Teleza tu, kama unagopa moto piga nyeto, tuko kwenye vita na mabeberu, hivyo hawaleti kondom.
 
Wizara ya Afya, Bohari ya Dawa (MSD) na mamlaka zinazohusika mnaweza kutuambia shida ipo wapi mpaka kondom zimeadimika mitaani?

Kila duka la dawa ukiingia unaambiwa kondom zimeisha, ni mwezi wa pili huu sasa kumekuwa na hii changamoto. Mnataka na sisi watumia kondom tuombe kikao na raisi ndio mtukumbuke?
Duh

Kila Duka???

Kwani kuna nini cha lazima hivyo?

Unaweza kuahirisha tu, ukaendeleza abstinence
 
Back
Top Bottom