Recent content by makonko

  1. makonko

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harrier

    Nakupa 23mil
  2. makonko

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Timu za uhakika zinakuwa na odds ndogo
  3. makonko

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

    Kama hutumii vilevi huo mtoko hautanoga
  4. makonko

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TCU Dar zinapatikana wapi?

    Habari ya Leo wana jamii forums wenzangu, Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za TCU dar es salaam. Asante
  5. makonko

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Mzee baba...bornbush kitambo hiyo mate yamenitoka
  6. makonko

    JamiiForums Tanzania Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

    Unamaanisha kibaha ipi?? Maana kutoka mbezi mpaka kibaha milemoja ni sh 700 tu, picha ya ndege 1200 sasa ww unamanisha ipi
  7. makonko

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Unasema tusiogee chooni wakati wengine choo na bafu ni humohumo hapo inakuwaje
  8. makonko

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Skonga ni taswira ya Elimu yetu ilivyo

    Sawa kabisa watoto wanakalilishwa tuu vitu vya kijinga mitaala mibovu haijengi uelewa, useless curricullum
  9. makonko

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kibao inaweza kuishtaki Kampuni ya Usafiri iliyomshusha mteja Wao njiani Kinyume na Mkataba

    Wafiwa tena!!! Huoni kwamba unazua taharuki??
  10. makonko

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujiondoa kwenye huduma hii ili nisiendelee kukatwa pesa zangu?

    Aaah mzee wa nyamwage... unatamba mndengeleko
  11. makonko

    JamiiForums Tanzania Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

    Mwenyezi Mungu akutilie wepesi.
  12. makonko

    JamiiForums Tanzania TRC yatolea ufanunuzi kuzimika kwa treni ya SGR Julai 30, 2024 katikati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete

    Mpaka saivi Kadogosa bado yupo ofisini?? Kama ndiyo anatakiwa kujiuzuru haraka sana.
Back
Top Bottom