Sketi zinakwepeka, ila kuna hali ya mwili iko, kuna ka internal power kana kufanya ujihis faru au bulldozer uchakaze chakaze na kurarua mbususu, ila bado tuna strong will, natumai siku mia zitaisha.
Pole sana mkuu kwa uyapitiayo.
Stress katika zama hizi imekua ni jambo lisiloepukika, ukikoswa koswa huku lazma utapatikana kule.
Nini cha kufanya basi kukabiliana na hali. Naamini kila mtu yuko na upekee wake hivyo yale yatakayonisaidia yanaweza yasiwe yatakayo kusaidia, kwaiyo cha msingi ni...
Daah umenikumbusha mbali sana, kuna basi lilikua na nembo kubwa "Pride of Mwanza" Super Najimunisa. Wakati huo magari mengi yakiwa yanatoboa Mwanza kutoka Dar mida ya saa tatu, saa nne, sisi tulifika siku ya pili yake saa nane, tukiwa hoi kama wana wa Israel.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.