Recent content by makoke21

  1. M

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Wakristo Wana wivu balaa NDIO maana roho zinawatoka baada ya Alikiba kuongea sawa na mafundisho ya Dini yake
  2. M

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Shida ya Ali Kiba ni kusema kile kilichoandikwa kwa mujibu wa imani ya UISLAM?? UISLAM mafundisho yake yapo wazi kuwa kila mtu huzaliwa akiwa Muislam na NDIO maana hatuwapeleki watoto kwa masheikh misikitini wawape dini....kwa sababu kila tunazaliwa tukiwa waislam tayari inabaki kusoma muongozo...
  3. M

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Brand sio Hoja....issue kubwa watanzania wenzangu tunapenda unafiki eti mtu afiche imani yake... Yaani dini hususani UISLAM uwe ni msikitini na usireflect maisha ya mtu na muhusika pia asitaje hadharani. 1. Wakristo wangapi wenye brand na wanapanda majukwaani ni misalaba shingoni?? Je imani ya...
  4. M

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Wakristo sio wanafiki wanakubali bila kelele?? Kasome kwanza lengo la yesu duniani ni lipi... Mat 10:34-35, Luka 14:26, Luka 12:51 Kisha uje hapa unikumbushe Gwajima alipo kamatwa waumini wake walikaa kimya??
  5. M

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    1. Hakuna atakaye andamana eti mkristo kasema alizaliwa akiwa mkristo... Bali tutamuuliza. Je ubatizo ni kwa ajili GANI?? 2. Kwa mafundisho ya Uislamu kila mtu anayezaliwa huzaliwa akiwa ni Muislamu ndio maana Waislamu hawawapeleki watoto wao Misikitini kuwabatiza, maana ukishambatiza tu tayari...
  6. M

    Naombeni ushauri juu ya kesi hii ya Ubakaji

    Nikwamue kwenye tuta jamani... Hapa kuna ndugu yangu, mtoto wake anayesoma darasa la saba kabakwa na kijana wa jirani yake na kumrubuni msichana kisha wakampeleka kwao. Baba mzazi wa msichana amejitahidi kuripoti polisi bila msaada. Mbaya zaidi walipoona baba msichana anafatilia polisi...
  7. M

    Kesi na afisa elimu

    Jamani naomba msaada nimepeleka mashitaka yangu kwa mkurugenzi juu ya uonevu na manyanyaso lakn badala yake nikahamishwa kituo cha kazi. Mkurugenzi amebadilishwa ila na huyu mwingine nimempelekea barua ya nini manyanyaso ya sehemu ya kazi bado hajanijibu mwezi sasa.what next step should i opt?
  8. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Aje chalinze akalime tubadilishane 0763227257
  9. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi mwalimu was sekondari katika Halmashaur ya chalinze natafuta MTU wa kubadilishana nae kituo ktk Manispaa ya Arusha au Moshi.... Kuna jamaa alinipigia kipindi flan nimepotesa simu yake.... Nitafute kwa namba : 0763227257
  10. M

    Mwanasheria anahitajika kwa ushauri

    mimi ni mwalimu, tarehe 16/03/2013 tulipata msaada wa fedha za maji shuleni kwetu toka BOT pesa mkuu wa shule akapiga. kwa kuwa alijiwekea utaratibu wa kutowrka wazi mapato na matumizi walimu tulihoji tukaishiwa kutishiwa. tulikaa kikao cha walimu wote tukaandika madai yetu tukampelekea...
  11. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo cwilaya ya Chalinze mkoa wa pwani aliyeko Moshi mjini tubadilishane.. namba zangu ni : 0782129737
  12. M

    Je, asili ya majini ni ipi?

    Biblia inataja majini pia ila pasipotaja asili yake. mfano... Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao ( mambo ya walawi 17:7) biblia inaonesha majini wanao uwezo wa kufanya uasharati na watu. haijajibu swali la je majini wanamaumbo kama ya...
  13. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mie nipo chalinze unaweza kuja?
  14. M

    Kiwanja low density kinauzwa sumbawanga mjini

    kiwanja ni kikubwa kina fence ya ukuta uliojengwa kwa Tofari pia kina nyumba ya vyumba viwili imekamilika kwa mtu kuishi na sehemu kubwa ya kujenga. Tuwasiliane kwa simu namba 0764423402 KARIBUNI
Back
Top Bottom