Kiwanja low density kinauzwa sumbawanga mjini

makoke21

Member
Apr 23, 2014
20
5
kiwanja ni kikubwa kina fence ya ukuta uliojengwa kwa Tofari pia kina nyumba ya vyumba viwili imekamilika kwa mtu kuishi na sehemu kubwa ya kujenga.

Tuwasiliane kwa simu namba 0764423402
KARIBUNI
 
Weka taarifa kamili....size ya kiwanja..kimepimwa au lah....bei....picha ikibidi..nataarifa zingine muhimu kama mtaa au kata...ili mtu akisoma anaweza kuvutika kuanza mazungumzo ya biashara loh!!
 
kiwanja ni kikubwa kina fence ya ukuta uliojengwa kwa Tofari pia kina nyumba ya vyumba viwili imekamilika kwa mtu kuishi na sehemu kubwa ya kujenga.

Tuwasiliane kwa simu namba 0764423402
KARIBUNI

kinapatikana mitaa gani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom