Recent content by makita boy

  1. makita boy

    JamiiForums Tanzania Vifaranga Vya Kuchi...

    Mimi nilinunua 50,000 wakiwa miezi 2
  2. makita boy

    JamiiForums Tanzania Vifaranga Vya Kuchi...

  3. makita boy

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Taarifa ya habari ITV abadili koti ghafla!

    Nilimpelekea anunue akajaribu mimi niko nje namngojea kumbe yeye kaenda kuuza nalo sura ikabidi niingie ndani namkuta anatangaza habari nikamwambia koti niondoke
  4. makita boy

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje magari haya yakafanana 'plate number'?

    Hizi gari hazifanani kabisa moja ML na nyingine GL hata ukiangalia taa za nyuma hazifanani moja zipo taa pembeni zaidi nyigine unaziona vizuri halafu ina taa nyigine kwa chini angalia na hicho kibampa cha chini kabisa havifanani
  5. makita boy

    JamiiForums Tanzania Wasomi waliofeli maisha ndio wanaoichukia CCM na serikali yake

    Atakua mjumbe huyu hapo alipo hana cheti hata kimoja zaidi ya cha kuzaliwa
  6. makita boy

    JamiiForums Tanzania Msaada: wapi naweza pata fundi mwenye kushona suti kama hii??

    Ilibakia kidogo tu niandike namba ya simu nikajua dili kumbe suti zenyewe ndio hizo du! Siwezi onana na wachina
  7. makita boy

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa waendesha bodaboda hawayajui matumizi ya Full light wakati wa kiza? maana wanaboa sana

    Kwa utafiti wangu naona hawajui matumizi yeye ikishawaka basi kamaliza
  8. makita boy

    JamiiForums Tanzania Spika upo uchi, chutama

    Nenda kapike huelewi chochote
  9. makita boy

    JamiiForums Tanzania Najitoa rasmi CCM, yanayoendelea huko ni aibu tupu

    Watabakia kabila lake tu
  10. makita boy

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Sababu kwanini Scotland Yard na FBI hawana uwezo wa kuchunguza Kushambuliwa Tundu Lissu

    Msipate shida na hao watu wa Lumumba
  11. makita boy

    JamiiForums Tanzania Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

    Kama alicha makalio wazi hamna mke hapo Mr Sungu piga kazi ukitoa pesa kwa mtoto kosa usipotoa kosa sasa tufanyaje?
  12. makita boy

    JamiiForums Tanzania Serikali iko tayari kugharamia matibabu ya Tundu Lissu popote Ulimwenguni

    Kisomo kimeanza kazi yake
  13. makita boy

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Zipo mimi nina lg 3d inasoma external
  14. makita boy

    JamiiForums Tanzania Atakaye nisaidia kuipata simu hii natoa zawadi ya laki moja

    Wao ndio wanajua siri zako kuliko wewe hushangai uko peke yako chumbani una SMG yako unataka kumuuzia mtu umeiweka kwenye begi unatoka Mwanza unakuja Dar umeshaongea na mteja vizuri kwa njia ya simu unakuja kukamatiwa Ubungo
  15. makita boy

    JamiiForums Tanzania Dawa nzuri ya mtu anaetembea na mke wa mtu ni ipi?

    Dawa nzuri MASHINE tu
Back
Top Bottom