Recent content by Makirobatiki

  1. Makirobatiki

    Series (Special thread)

    Aisee Naomba Mapendekezo Ya Series Niruke Nayo Leo Yenye Maadhi Ya Action,Crime ,Adventure...NB: Nimezicheki Nyingi kwahiyo Now Nakosa Nicheki ipi Ukimention Nikiwa Sijaipitia Utakuwa umenisaidia Sana
  2. Makirobatiki

    Series (Special thread)

    For life iko vizuri? Huwa naikwepa
  3. Makirobatiki

    Series (Special thread)

    Wadau mimi bhana nmechek series nyng na kutokana na aina ya series ninazopenda sahv niko empy naomba mdau aweke mzigo hapo kama nitakua sijauona nitembee nao....natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Makirobatiki

    Series (Special thread)

    Wametoa Ep ya 5 pekee bro Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Makirobatiki

    Series (Special thread)

    Yeah mzee mzigo umetulia hadi sasa ep04 lakin haijaboa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Makirobatiki

    Tukumbushe jina lako la utani

    Nikiwa nipo Sec Nlkw Naitwa "Tumbo Tumbo" Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Makirobatiki

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    7th November Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Makirobatiki

    Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Nimeuliza tu mkuu kutojana hiyo screenshot mfn vaa uhusika then uwe umefanya analysis nzuri na ikahit....na ukiangalia hizo trade kazifunga Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Makirobatiki

    Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Broker gani anamtumia kwa mtaji mdogo akatumia lot size ya 2.55 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Makirobatiki

    Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Mkuu hata kama ni sclaping hata iwe ya 15mins kwa lot size ya 1.25 ikianza kuwa blue haiwez kuwa na profit ya hivy huyu jamaa somo la risk management limempita kushoto awe makini Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Makirobatiki

    Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

    Mkuu unafanya Sclaping ya aina gani mbn Lot size uliyotumia ni kubwa but profit yako ndogo sana??? Wht about laverage?? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Makirobatiki

    Wanaume wafupi na wanene vazi la suti achaneni nalo, haliwafai. Vaeni kanzu

    Mbona Sisi Wenyewe Huwa Tunajikubali Na Vimo Vyetu Kila Mtu Avae Anavyopenda Bhana
  13. Makirobatiki

    Tangu ianze kauli mbiu ya elimu bure binafsi sijaona manufaa yoyote katika hili maana hali imekuwa mbaya sana

    Ni kweli kabisa mkuu.....kwa style hii tutaendelea kuzalisha vilaza tu....
Back
Top Bottom