Point hapo ni jicho la kishabik, na hamna uwezo wa kuifunga united goli 3, tangu tulipofungwa na Man city hakuna aliyeweza shinda goli 3 kwa Man u, Game itakuwa ngumu sana na mkileta utoto tutawapiga kimoja kazi iishe, na sisi tukizingua tunaweza pigwa goli 1 tu la kuamua mechi, la sivyo hii no...