May be, labda niulize.
Ktk soma soma yangu,, utafit wa anga za mbali mara nyingi unafanyika kwa kutumia vyombo maalum vinavyorushwa kwwnga huko.. But so, far nimesoma mahali, satelites nyingi (especially za nasa), zikitumwa huko, ama hazirudi au zikirud hazina uwezo wa kwenda huko tena.. Lakin...