KingOligarchy
Senior Member
- Sep 28, 2013
- 130
- 351
unapokopa mkopo inadepend security umeweka nini, kama security ilikuwa ni Tbond yako nikimaanisha umeipledge, huwezi kuiuza mpaka mkopo ukamilike otherwise uongee nao kwamba unataka kuliquidate mkopo wako wote kwa kuuza .Mkuu Kingoligarchy, kuna uwezekano ukauza T-Bond uliyonunua kupitia pesa ulizokopa saccos/uliyokopea bank kabla ya kumaliza marejesho huko saccos/ huko bank? Kama inawezekana ni kivip?
Na je, retail, kikundi, kampuni naweza kununua t-bond bila kupitia kwa broker?
Msaada wako pls.
Pili kuna akaunti mbalimbali, Vikundi , retail @individuals, hata kampuni inaweza kununua Tbond.
Karibu PM.