Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu muda mrefu madarakani.
Bila kupepesa macho, Rais huyo alitoa jibu moja tu; He tamed the army...
BARA la Afrika linaelezwa kuwa moja ya maeneo yanayoongoza kuwa na ajali nyingi zaidi duniani kutokana na sababu mbalimbali hasa uzembe pamoja na ubovu wa miundombinu yake ya barabara.
Karibu watu milioni 1.3 hufa kila mwaka kutokana na ajali za barabarani na kutokana na sababu kama hizo.
Kwa...
Kevin Poulsen alizaliwa tarehe 30 mwezi Novemba mwaka wa 1965. Moja ya udukuzu wake muhimu ni udukuzi wa redio ya LA kwa jina la KIIS-FM.
Kwa kudukua nambari za simu za shirika hilo la redio Poulsen alijitangaza mshindi wa gari[emoji23] aina ya Porsche[emoji95] pamoja na zawadi zingine...
Jonathan alizaliwa tarehe 12 mwezi Desemba mwaka wa 1983.
Alipata umaarufu alipohukumiwa kifungo akiwa na umri wa miaka 16 [emoji16]kwa makosa ya udukuzi aliyofanya akiwa na umri wa miaka 15.
Jonathan alidukua mifumo ya kompyuta katika wizara ya Ulinzi ya Marekani[emoji848]. Jonathan pia...
MAISHA NA SIMULIZI ZA MAFUNDISHO
STORI YA KWELI YA AJABU NA YAKUSISIMUA
Kulikuwa na mzee mmoja ambaye alikuwa tajiri sana, Mzee huyu alibahatika kuwa na binti mmoja na ambaye alimpenda sana na hata
kumwandika kuwa mrithi wa mali zake zote pindi mzee atakapoiaga dunia.
Mzee huyu alimiliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.