Acha umbea ya gwajima yanakuhusu nini,acha kila MTU achukue nafasi yake.Fanya sehemu yako na watu wa usalama watafanya nafasi yao.sifa ya MTU wa usalama wa taifa lazima awe na akili za ziada ambazo wewe uliyelopoka hapa hauna.so shutup your mouth
Wapendwa katika BWANA,habari za asubuhi,BWANA wetu asifiwe sana.wapendwa katika harakati za kimaisha nimejifunza hili jambo japo sijalifanyia ufumbuzi
Kwamba katika Maisha usipuuzie ndoto.
Nimejaribu kuangalia wakuu na wafalme katika BIBLIA shida walizozipata baada ya kupuuzia ndoto,hivyo...
Mimi nimenunua kutoka kwa Rafiki yangu jina anaitwa baraka tunaaminiana sana,yeye naye alikinunua kwa MTU jina anto ila huyu anto alikinunua kwa mmliki wa kwanza jina suda.tatizo anto alipouziwa akapewa offer na nyaraka zingine zote ila hawakubadilisha jina baadae akamuuzia baraka,akakabizishwa...
Niliuziwa kiwanja tukagonganishwa watu wawili huko simiyu,Mimi nikawa nimewahi kujenga nyumba pale baadae akaja mwenzangu na yeye anadai kauziwa,kumbe aliyemuuzia alishafanyaga ujanja mapema kabla Mimi sijauziwa akajifanya kapoteza ile ofa ya kiwanja,akaenda polisi akaandikiwa loss riport,kwa...
Eti shauku ya mungu na rais wetu.ni kuona Tanzania haina madawa ya kulevya.WEWE UNAIJUA SHAUKU YA MUNGU WA MBINGUNI MAKONDA?acha kujidharirisha.au unamaanisha mungu yupi?au ambaye ukisimama amesimama yeye.mungu wa dar es salaam.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.