Recent content by Makbel

  1. Makbel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

    Safi kabisa!!
  2. Makbel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

    Mpandishe cheo awe Mke Mkubwa
  3. Makbel

    JamiiForums Tanzania Ada mpya za kutuma na kutoa pesa kwa Tigo Pesa

    Makato ya KUTUMIWA Pesa kwenye mmoja wa Mitandao ya simu ilikuwa kuanzia Tsh. 50,000 hadi 99,999 unakatwa makato haya hapa: ADA KUTUMIWA: Tsh. 720+VAT JUMLA KUU: Tsh. 720 Na sasa KUTUMIWA hiyo hiyo 50,000 hadi 99,999 Unakatwa makato haya hapa: ADA YA KUTUMIWA: Tsh. 720+VAT TOZO MPYA YA...
  4. Makbel

    JamiiForums Tanzania Pata CCTV Camera ya Wi-Fi inayokutumia video kwenye simu yako ya mkononi muda huohuo ukiwa popote pale ulipo

    Okay sasa sasa mhalifu si anaweza akaichomoa kwenye Umeme na Umeme ukikatika na shughuli si ndiyo imeishia hapo?
  5. Makbel

    JamiiForums Tanzania Pata CCTV Camera ya Wi-Fi inayokutumia video kwenye simu yako ya mkononi muda huohuo ukiwa popote pale ulipo

    Poa poa! Na betri yake inakaa na chaji masaa mangapi?
  6. Makbel

    JamiiForums Tanzania Pata CCTV Camera ya Wi-Fi inayokutumia video kwenye simu yako ya mkononi muda huohuo ukiwa popote pale ulipo

    Nitakucheki kesho mkuu nikipata pesa.
  7. Makbel

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano inadhoofisha wakandarasi wa ndani

    Shughuli zote za ukandarasi wa majengo now zipo chini ya TBA alafu hao TBA ndiyo hao wanaolikoroga. Twende kazi!
  8. Makbel

    JamiiForums Tanzania Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

    Ahahahaha Sent from my SM-G600FY using JamiiForums mobile app
  9. Makbel

    JamiiForums Tanzania Wenye magari: Mnaibiwa sana kwenye petrol station

    Oilcom ni wezi sana wa mafuta. Wakikukosa kwenye tarakimu wanazoandika pale basi watakukamua kwenye pump. Mimi pale hata gari ikate mafuta sisogei kamwe kuweka mafuta wameshaninyoosha sana.
  10. Makbel

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Pablo Escobar: Muuza madawa ya kulevya ambaye hajapata kutokea duniani mpaka leo

    Mkuu ni WhatsApp hii story 0787577755
  11. Makbel

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wauza simu humu kuna utapeli mpya umeingia

    Kuwa na adabu kidogo.
  12. Makbel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu umeme

    Kilowatt 1 ni sawa na unit ngapi kwa saa?
  13. Makbel

    JamiiForums Tanzania Nauza WiFi adaptor

    Unapatikana wapi? Nahitaji kwenye smart TV yangu na ikikubali kufanya kazi unayosema ninakulipa pesa yako.
Back
Top Bottom