Recent content by makaveli10

  1. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma na Kuvuja kwa inayodaiwa kuwa “Connection” ya Mwigulu Nchemba? Tutajuaje si feki?

    Fanya maarifa.. acha Aah.. basi bwana, kaa na dhambi zako 🤣😂
  2. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma na Kuvuja kwa inayodaiwa kuwa “Connection” ya Mwigulu Nchemba? Tutajuaje si feki?

    Fanya maarifa.. achana nae
  3. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Baba amem-surprise boyfriend wa binti yake kwa kumpa Ferrari

    Mimi alinifanyia suprise ya kuniibukia na panga maskani, kama sio fitness ya kipindi kile kutoka nduki zaidi ya usain bolt ingebidi nizinese na baba mkwe, ingebidi nitumie medani za bruce lee, lakini nikaona hapa nitazingua.. Uzuri wazee wa mtaani walipoza ile vita, mie nipo 4m 5 binti yake yupo...
  4. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma na Kuvuja kwa inayodaiwa kuwa “Connection” ya Mwigulu Nchemba? Tutajuaje si feki?

    We mtoto hebu fanya namna, hizi ni dhambi tu, tugaiane... 😂🤣
  5. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaenda kufanyiwa Operation Jumatatu nina ujumbe kwa waJF kadhaa

    Kila la heri ujifungue salama.
  6. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    We akili zako ni sawa na watawala wa serikali ya DANGANYIKA, kifupi wote hamna akili
  7. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sa SAka ni kiazi.. mchezaji wa kawaida tu..
  8. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

    Atapata hata penati za kutengwa.
  9. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

    Kuna interview moja niliona anataka kufikisha goli buku tena za ukweli na mbwembwe kibao, lile lilikuwa dongo kwa mfalme pele
  10. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

    Akifikisha buku ataacha.. hapa amerudi national team sababu anajua kuna kina faroe uko atapiga hat-trick kadhaa.. Ronaldo anapenda mashindano na records, hii anaitaka sana
  11. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

    Hii ni redcard haina haja ya VAR.. ni vile tu mchizi alikuwa na upofu
  12. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

    Wanawake na mali, shetani mwenyewe ana subiri 😂🤣
  13. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

    Ronaldo anafosi kufikisha goli 1000, ndio kiu yake
  14. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

    Sina uthibitisho na hili kama kwao kawaida tu, hata kama ninkawaida huenda watakuwa hawako sawa kichwani, sio lazima kila jambo wakifanya wao ndio wanakuwa sahihi tu
Back
Top Bottom