Ulaji wa police tena ana bahati police wataongeza na kosa lingine la hiyo simu ilikua kwenye pochi na kwenye pochi kulikua na hela na cheni ya dhahabu mahabusu wapo wengi sana huko wamerundikwa mwisho unaambiwa huna ndugu wenye hela wake wakutoe
Mi nimekubali mbona sijitambui yote sema ila pole wamekuchezea wengine na kukuzalisha wengine sasa single parenting inakutesa kwanini usijitambue [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nashukuru doctor kama mimi sijitambui sasa wewe unaejitambua ilikuaje ukaolewa na shoga ...stop blaming others kwa kosa au mapungufu ya mtu mmoja pole again
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mtoa mada ana stress pole ila mbona hujapangilia hoja zako umesema ni mashoga how wanapenda kula tigo? Alafu ni wachepukaji ...kama ushawahi fanyiwa hivyo jichunguze labda mapungufu unayo wewe
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.