Msaada kwa anayefahamu kuhusu madaraja uhamisho na mishahara ya wafanyakazi

NTEGEYE Jr

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
322
286
Ndugu zangu, kuna anaefahamu MADARAJA kwa watumishi yatapandishwa lini? Uhamisho utaruhusiwa tena lini maana Ndoa zetu zinaelekea kuwa mashakani. Ongezeko la Mishahara nalo lipoje?
 
Ndugu zangu, kuna anaefahamu MADARAJA kwa watumishi yatapandishwa lini? Uhamisho utaruhusiwa tena lini maana Ndoa zetu zinaelekea kuwa mashakani. Ongezeko la Mishahara nalo lipoje?
Komaaa tuu na mengine sio awamu hii sasa ni awamu ya Watesi hawakumbuki kama kuna hayo mambo Mimi toka 2011 sijawah sikia daraja mpaka Leo wonderful enough hata msharaha mwezi huu Kigoma Ujiji hatujapata halafu Afisa utumishi tunamwuliza eti alichelewa kutuma taarifa kweli hii nchi vituko haviishi. Sijui ngazi za juu hawaoni kuja kuwafumua hawa jamaa waweke watu active?
 
Back
Top Bottom