Recent content by Makareti

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nhif interview tukumbushane wahusika na kufahamishana zaidi

    hv wa tareh 14, ni wanini?je na watere 15 ni wanini,jamani naombeni mnikumbushe maaka mie nimesahau nilichokiomba.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jamani wadau nhif wametoa shortlist ya interview nunua mwananchi la leo 08.08.2012

    jamani mwenye ilo gazeti naomba anipost humu jamii forum maake wengine tulikuwa tumeshakata tamaa na siku ndo zinayoyoma hivyo,thaxs kwa news japo hawa watu waswahili sana. wanataka watujue wangapi tuna shida ya ajira.
  3. M

    JamiiForums Tanzania ajira fasta

    duuuuuuuuh
  4. M

    JamiiForums Tanzania Customer care representatives

    sasa mkuu unachagua kazi?jamani vip bado cv zinapokelewa?
  5. M

    JamiiForums Tanzania brac kazi

    duh kumbe na ofsi za design hiyo zipo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa ya majina ya sensa kata ya kawe, Makongo na Ubungo.

    kama una jibu mpe,maana hata kwenda huko hana nauli na ndo kwanza anasotea hicho kibarua.
  7. M

    JamiiForums Tanzania My first Interview next week! nipeni maujanja

    duh na mie mmenipa maujuzuji.ila ujuzi wa kutovaa crazy colour ndo umenichekesha zaid
  8. M

    JamiiForums Tanzania Customer care representatives

    jamani na mie napenda hata hiyo kazi,afadhalli leo nimegugundua kama kunakubebana.plz naombeni na mie mnibebe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sensa

    si ndio elimu sasa hiyo ya kwenda jela.afu si unajua baadhi ya watu wana vichwa vigumu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kazi hizoooooooooo...

    hivi mnamaanisha wenye degree tukasome tena?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa moshi mjini na vijijini vip majina ya sensa wamebandika?

    na wilaya ya rombo lini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kazi za upolisi

    Jamani eti form za kujiunga na upolisi zinapatikana wapi? na mwisho wake ni lini?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wapi pazuri kwa graduate

    jkt mzeya,we nenda kapige tu depo.
Back
Top Bottom