Watu wa moshi mjini na vijijini vip majina ya sensa wamebandika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wa moshi mjini na vijijini vip majina ya sensa wamebandika?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by pettymarcel, Aug 2, 2012.

 1. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Jaman tujuzane ndugu yangu maana nasikia dsm wao kimesanuka tangu jana vp watu wa moshi kila nikienda ofisi ya mtendaji hayupo tushirikiane kupeana taarifa katika hili
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Moshi hakuna dalili mpaka tym hii.
   
 3. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Duu hali ni tete kesho lazima nishuke manispa
   
 4. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Nimeambiwa watatoa majina j4 sasa zoez c walisema litaanza j3? What happen jaman ebu tujuzane kwa wanaojua manspaa wanadai kuna mabadiliko yametokea ila hawajasema ni nini
   
 5. C

  Cayla Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman nauliza vp kama ujatokea knye usail? Kuna chance ya kusaidiwa?
   
 6. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Watu wa moshi usaili bado mkuu
   
 7. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nimesikia tetesi kuwa watatoa majina j3, tuwe karibu kufuatilia wilayani,kisha tupeane taarifa hapa jf
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Jaman na wilaya ya hai ni lini?
   
 9. M

  Makareti Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na wilaya ya rombo lini?
   
 10. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Vipi wadau,naulizia majina moshi mjini bado? tupeane updates
   
 11. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Walisema leo mkuu watabandika so usikose kuwepo eneo la tukio
   
 12. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  leo naona pakavu mkuu, na kesho hawatakuwa kazini malegend wote, labda mpaka alhamis, tupeane taarifa wadau
   
 13. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Wamesema tuchek kwenye kata ze2 mkuu ndo najaribu kufuatilia kama wakibandka tutashtuana
   
 14. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  vipi pettymarcel, bilabila leo? nipe taarifa mkuu, au mpaka kesho alhamis?
   
 15. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Bado hawajatubandikia mkuu nitakuhabarisha vp pande zenu?
   
 16. K

  Kichasi Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Moshi mjini wameyaweka jana usiku ila kilichotokea mtajionea wenyewe.
   
 17. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Duu ebu tudokeze japo mkuu maana wengne ndo tunajipanga kwenda kuangalia
   
 18. S

  Shuju Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jaman kwa wale warombo majina yamewekwa?
   
 19. S

  Shuju Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu yangu naulza rombo wametoa majina ama bado pia msaada jaman mana kulikuwa na maomb ya mwisho mwez wa sita na mwez huu
   
Loading...