Nhif interview tukumbushane wahusika na kufahamishana zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nhif interview tukumbushane wahusika na kufahamishana zaidi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by markj, Aug 11, 2012.

 1. m

  markj JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  trh 14,15,17,23 na 24 mwezi huu wa 8! ni tarehe ambazo kutakuwa na written interview kwa nafasi mbalimbali zilizoombwa nhif. wengini ni wageni jamani na dsm. huko BARAZA LA MAASKOFU ndo mitaa ya wapi, tuelekezane ndugu zangu na kwa wale wataoanza trh za mwanzo interview tuwe tunapeana update kipi kitakuwa kinaendelea. natanguliza shukrani kwa hili.
   
 2. M

  Makareti Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hv wa tareh 14, ni wanini?je na watere 15 ni wanini,jamani naombeni mnikumbushe maaka mie nimesahau nilichokiomba.
   
Loading...