Recent content by Makalangilo

  1. Makalangilo

    GE2025 Video: Kisesa kumenoga! Wananchi wajikusanya kupinga Mpina kutoteuliwa nafasi ya Ubunge ya CCM

    Wananchi wamejikusanya? Mnajua harakati za kisiasa zinavyoendeshwa? Hii inapaswa kuwa : Wananchi wamekusanywa ...................na blah blah blah!
  2. Makalangilo

    GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Chama kina utaratibu mzuri wa kufanya maamuzi kwa weledi.Ndiyo maana nchi hii CCM itaendelea kudumu.
  3. Makalangilo

    GE2025 Dkt. Angelina Mabula: Mimi sitoi Fedha za Rushwa, Pesa yangu ikitoka inaenda kwa Jamii siyo kwa ajili ya Kura

    Tunaendelea kumlaumu kwamba ni katika kipindi chake akiwa Mbunge na Waziri wa ardhi open space ya Mecco Kusini ilipewa kinyemela kwa mtu binafisi.Ikumbukwe kuwa huko nyuma Dr.Engineer James Msekela akihusisha watumishi wa Ardhi na Mkurugenzi wa jiji waliamua kuwa eneo hilo ambalo mwenye shule ya...
  4. Makalangilo

    UTV Acheni Unafiki. Habari zenu hazina mizania

    Mfanyabiashara makini anaelewa na kujali flow ya audience na mapato yake.Anafuata ni nini watazamaji wanachopenda kusikia na kuona.Hamlazimishi mtazamaji yeyote kutune tv yake kwa hiyo mlalamikaji ana uhuru wa kuchagua chanel anayoyoipenda kwa sababu remote iko mkononi mwake.
  5. Makalangilo

    Bundi atua CUF: Prof. Lipumba, Sakaya, Mbunge wa Mtwara mjini na wengine wasimamishwa uanachama

    Bundi alitua siku ile Kamanda Profesa alipokimbia mapambano ya Oktoba 2015,ila alikuwa amesinzia pale paani,sasa kaamka!
  6. Makalangilo

    Lema alipukiwa na vigelegele na Shangwe kwenye msiba wa wana CCM

    Inahusianaje na topic yetu ya Lema msibani.?
  7. Makalangilo

    Lema alipukiwa na vigelegele na Shangwe kwenye msiba wa wana CCM

    Alipokelewa kwa vigelegele au vilio vya msiba...? Kuna tofauti kati ya sherehe za mazishi na za mkutano wa siasa.
  8. Makalangilo

    Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika Uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    Tanganyika nini bwana,ilikuwa Germany East Africa,Burundi na Rwanda zilikuwamo ndani.Ukirudi nyuma katika historia sijui ilikuwa inaitwaje?
  9. Makalangilo

    Mbowe aachiwa bila dhamana

    Inawezekana mahakama kumwachia mtuhumiwa yeyote bila kuwepo dhamana?Wanasheria tusaidieni.Kama haiwezekani nini credibility ya mtu aliyeleta habari hii?
  10. Makalangilo

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Mimi siaaamini mpaka nipate habari kamili kutoka kwa Mkulugenzi.Messenger anaweza kuchakachua.
  11. Makalangilo

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Kuna kila dalili kwamba magwanda ameshinda!
  12. Makalangilo

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Yabizile kinehe?Kimya sana !
  13. Makalangilo

    Asilimia 85% ya watanzania hawaitaki serikali ya jk kama uchaguzi ungefanyika leo

    Mtu unakaa ukiota ndoto za mchana unakuja na utumbo kama huu...tafuta mambo ya maana na kama huna tulia.Tanzania ni nchi kubwa na sample yako haina kichwa wala miguu.
  14. Makalangilo

    Kweli Lowassa na RA wana nguvu

    Pambana Nape pambana....siasa zinataka hivyo.
Back
Top Bottom