Recent content by majuze

  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Mkuu Hisense TV 50" bei gani? Pia TCL 50" bei gani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu wimbo unaitwaje,nimeona kipande kifupi TikTok? Aliyenao naomba
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Shukrani kwa kuweka hizi,hii inasaidia sana kwa mtu anayetaka kuanza ajue walau awe na kiasi gani?Asante
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

    Mkuu kuna post namba 42 naomba kama hautojali majibu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

    Shukrani kwa maelezo mazuri,ningelipenda kujua ni vitu gani ambavyo vinaweza kusaidia kutambua kuwa huyu ni wa ukoo wa mapacha,mfano kwa jike ambaye hana watoto wakati wa kumununua,asante
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

    Mkuu naomba kujua kuhusiana na mbuzi kuzaa mapacha na wengine wanafikia hata kuzaa wanne kwa wakati mmoja,je hii hutegemea ukoo wa mbuzi au kuna jinsi unaweza ukawafanya wakazaa hivyo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

    Mkuu naomba kujua kuhusiana na suala la mbuzi kuzaa mapacha na wengine wanafikia hata kuzaa wanne kwa wakati mmoja,je hii ni ukoo wa mbuzi au kuna jinsi unaweza ukawafanya wakazaa hivyo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

    Mkuu yupi anakua mbuzi safi kwa ajili ya kunenepesha kati ya aliyehasiwa na ambaye hajahasiwa?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu gharama za kodi endapo nikiagiza tractor ya kilimo nje ya nchi

    Ok,utanipa uzoefu (ubora na mapungufu) yake maana kuna New Holland nazo ninazisikia ziko vizuri,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu gharama za kodi endapo nikiagiza tractor ya kilimo nje ya nchi

    Mkuu kwema? samahani,uliweza kuagiza tractor?kama ulifanikiwa naomba msaada tafadhali kuhusu nchi uliyoagiza,kampuni itakua vizuri kama nitapata website yao pia ilitumia mda gani kufika na baada ya kuiona ubora wake ukoje? Asante
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa Tractor za Massey 290 au 385 ipo bora kwa kulimia

    Ubarikiwe kwa maelezo mazuri. Kuna New Holland TT 65 inauzwa na kampuni ya CMC Motors au pia wanajiita Hughes Agriculture Ltd,naomba maelezo kidogo kama hautojali, pia kama una ABC ya New Holland za hawa jamaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa Tractor za Massey 290 au 385 ipo bora kwa kulimia

    Mkuu shukrani sana kwa maelezo yako, naomba kujua kuhusu Newholland za Suma ni za kutoka nchi gani ?pia zipi changamoto zake?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata huduma ya kupima afya ya udongo?

    Shukrani mkuu
Back
Top Bottom