Msaada kwa anayefahamu gharama za kodi endapo nikiagiza tractor ya kilimo nje ya nchi

Van Pauser

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
386
500
Habari za muda huu wapendwa. Natumaini mnaendelea vyema na mapambano ya COVID 19 bila shaka Mungu anawasimamia kila iitwapo leo.

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.. Mimi kama kijana ambaye mwenye ari ya kufanya kilimo nahitaji kuagiza tractor nje ya nchi ila kinachonipa ugumu ni gharama za kodi ya TRA maana nimefuatilia tractor kwa nje ya nchi sio bei kubwa sana kama ilivyo hapa nchini...

Kwa mwenye uelewa juu ya kodi za TRA zilivyo ninaomba anipe ujuzi maana nahitaji sana tractor.

Nawasilisha

Van Pauser.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,263
2,000
Hivi kumbe hata bidhaa za kilimo zinatozwa ushuru bandarini? ile sera ya kilimo kwanza si ilikataa? au ni enzi za Jk tuu?

Nilijua bidhaa za kilimo na elimu ni bure.
 
Van Pauser

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
386
500
Hivi kumbe hata bidhaa za kilimo zinatozwa ushuru bandarini? ile sera ya kilimo kwanza si ilikataa? au ni enzi za Jk tuu?

Nilijua bidhaa za kilimo na elimu ni bure.
Kwa hilo sijajua mkuu ndo maana nikahitaji kwa mwenye ufahamu kwenye kada hii...
 
R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,179
2,000
So hakuna garama zozote unalipia pale bandarini?
Gharama zipo mkuu.

Utalipa wharfage.

1.25% of CIF value kama sijakosea

Pia utalipa CPF asilimia yake zake nimesahau kidogo pia inakuwa calculated kwenye CIF value.

But there will be no import duties and VAT.

The rest unaweza ingia kwenye website ya TRA ukaangalie kwenye EAST AFRICAN CUSTOMS TARRIF BOOK ukawa na uhakika zaidi wa.

sent using Simenzi mayai
 
kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
6,496

Shukrani mkuu.
 
t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
2,144
2,000
1, Wharfage
2, Shipping line dollar 100-200 kutegemeana na bill
3,port charges kutegemeana na cbm
4 agency fees hii Ni makubaliano

Hakuna kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
George786

Member
Feb 8, 2019
39
125
Habari za muda huu wapendwa. Natumaini mnaendelea vyema na mapambano ya COVID 19 bila shaka Mungu anawasimamia kila iitwapo leo.

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.. Mimi kama kijana ambaye mwenye ari ya kufanya kilimo nahitaji kuagiza tractor nje ya nchi ila kinachonipa ugumu ni gharama za kodi ya TRA maana nimefuatilia tractor kwa nje ya nchi sio bei kubwa sana kama ilivyo hapa nchini...

Kwa mwenye uelewa juu ya kodi za TRA zilivyo ninaomba anipe ujuzi maana nahitaji sana tractor.

Nawasilisha

Van Pauser.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuuu haina kodi,naishi nje ukitaka Masaada wa mawazo nifuate,nimewahi yasafirisha (second hands tractors) nchi za west africa ambako ni karibu na europe hapa

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Fildmashal

Senior Member
Oct 7, 2019
104
225
Namaanisha trekta lililotumika,sababu jipya la mzungu bei imesimama sana,ila trekta second hand (lililotumika)bado lote sababu wazungu wanamatumizi mazuri sana ya vifaa.

Sent from my iPad using JamiiForums
Mku tunaomba bei ya massey 165/290 used
 
majuze

Member
Aug 20, 2014
29
45
Habari za muda huu wapendwa. Natumaini mnaendelea vyema na mapambano ya COVID 19 bila shaka Mungu anawasimamia kila iitwapo leo.

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.. Mimi kama kijana ambaye mwenye ari ya kufanya kilimo nahitaji kuagiza tractor nje ya nchi ila kinachonipa ugumu ni gharama za kodi ya TRA maana nimefuatilia tractor kwa nje ya nchi sio bei kubwa sana kama ilivyo hapa nchini...

Kwa mwenye uelewa juu ya kodi za TRA zilivyo ninaomba anipe ujuzi maana nahitaji sana tractor.

Nawasilisha

Van Pauser.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwema? samahani,uliweza kuagiza tractor?kama ulifanikiwa naomba msaada tafadhali kuhusu nchi uliyoagiza,kampuni itakua vizuri kama nitapata website yao pia ilitumia mda gani kufika na baada ya kuiona ubora wake ukoje? Asante
 
Van Pauser

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
386
500
Mkuu kwema? samahani,uliweza kuagiza tractor?kama ulifanikiwa naomba msaada tafadhali kuhusu nchi uliyoagiza,kampuni itakua vizuri kama nitapata website yao pia ilitumia mda gani kufika na baada ya kuiona ubora wake ukoje? Asante
Sikufanikiwa boss... Nliamua kununua kwa mtu ambaye alikuwa na shida hvyo ckuagiza nje.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom