Recent content by Majs

  1. Majs

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

    Nimeusikiliza, mjadala umeenda vyema..
  2. Majs

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

    Watakuloga uwe zezeta ubaki duniani kama kama bendera fuata upepo ukaona heri wangekuua😁😁
  3. Majs

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

    Au labda wakuue kabisa😁
  4. Majs

    JamiiForums Tanzania ATCL yapanga kuwa na uwanja wake ndani ya Julius Nyerere Airport

    Kiwanja bado halafu wamekula hasara ya bilioni 56:eek: Wakiwa nacho itakuwa hasara inayojitegemea
  5. Majs

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Magnis ya Australia yaitumia Graphite ya Ruangwa kupata bilioni 816

    Afrika njoo na akili unatoboa
  6. Majs

    JamiiForums Tanzania BoT waruhusuni/wapeni muongozo Benki kuongeza kiwango cha kutoa pesa ATM

    Ile nafasi ya kutolea hela haitoshi kutoa noti 1000 kwa mpigo, nadhani wazungu wamezidesign kwaajili ya hela zao ambazo noti chache zina thamani kubwa.
  7. Majs

    JamiiForums Tanzania BoT waruhusuni/wapeni muongozo Benki kuongeza kiwango cha kutoa pesa ATM

    Nadhani sio ATM zote za CRDB. Upande mwengine itakuwa ni issue ya faida kwasababu kila muamala unakuwa na makato, ukitoa nyingi kwa mara moja inapunguza hiyo faida, DTB mwisho laki tatu.. Ukitaka 1.2m inabidi utoe mara nne badala ya tatu...
  8. Majs

    JamiiForums Tanzania Utapeli unaofanywa na baadhi ya "maajenti" wasio waaminifu pale Magufuli Bus Terminal ukomeshwe!

    Ukiwa mkazi wa Mbezi, wale jamaa wanaganda kila mtu.. kila wanaemuona wanadhani ni msafiri.. wanaweza kukusindikiza safari yako wakidhani unaenda kukata tiketi na husemi.
  9. Majs

    JamiiForums Tanzania NSSF yauza Dege Eco Village Kigamboni kwa bilioni 501, mnunuzi afichwa

    Kuna yule Azimio aliingia ubia na NSSF na kuithaminisha ardhi iliyotumika kwa bei ya kuruka mpaka akaingia kwenye ripoti za CAG, wamemalizanaje? Maana hisa zake zilikuwa 55%
  10. Majs

    JamiiForums Tanzania Je, TCRA na Wizara ya Mawasiliano wameshindwa kudhibiti matangazo holela?

    Mitandao ya simu inajiamulia tu kutuma matangazo, inasikitisha sana na hii TCRA..
  11. Majs

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Wakisema watakuwa wanapenda ulalamishi😅
  12. Majs

    JamiiForums Tanzania Gharama za Travel Insurance

    Nilikata Phoenix Posta mpya, safari ya wiki mbili ilikuwa dola 18. Nenda makampuni ya bima waambie unahitaji bima ya safari. Bima ilikuwa lazima ili kusafiri.
Back
Top Bottom