Jaribu kumtafuta huyu mwananchi hii hapa thread yake kwa masuala ya nguo basi anaweza kukusaidia
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/645626-unataka-kuagiza-nguo-kutoka-nje-4.html#post9429113
Wana jamii nataka nijikite kwenye uagizaji wa dawa baridi kutoka nchi mbalimbali je mtu wa kawaida anaruhusiwa kuagiza dawa baridi kutoka nje na kuna process zipi za kuingiza dawa?na vipi kuhusu usambazaji kuna mwenye idea yoyote nitashukuru sana kwa msaada wenu
Specifications mini tractor "Belarus " .
Modification Bіlorus - 132 H
Type wheel 4x4
Gasoline engine ( Honda )
Number of cylinders 1
Weight, operational , 425 kg
Rated traction gain of 2.0 kN
Number of gears :
Forward 4
Reversing 3
Speed, km / h
forward 2.84 -17.74...
Jamani habari zenu
Naomba kusaidiwa juu ya hili swala naona humu kuna wataalmu mbalimbali.Tunajua kwamba Tanzania hakuna sheria inayoruhusu mwananchi au mgeni kununua ardhi moja kwa moja ardhi ni mali ya Taifa na kila mtu ana leese kwa miaka 99.Je raia wa nje ambao wanataka kununua nyumba...
jAMANI WAPENDWA kama mnavyojuwa tena maji yashingi yamenifika shingoni kama mwezi hivi niliwewka topic juu ya MASS MEDIA ndugu zangu lengo langu ni moja kucreate opportunities kwa kila mtu -ajira na mambo mengine.Nimeanzisha Journal ambalo lina mamabo yote haya
Politics
World(africa,Asia,USA...
Zanzibar Spices nashukuru sana mimi sipo hapo ila nitajitahidi kwa namna yoyote nipate mawasiliano ya huyo bwana.Piacha ya gazeti ningependa iwe na mambo kama haya ili liwe kivutio kwa kila rika na kwa kila fani
Politics
World(africa,Asia,USA,
Sport
Auto
movie
music
games
travel
health...
Good sunday evening wapendwa watanzania wenzangu katika kujenga uchumi wa Taifa
Ndugu zangu mimi mwenzeni maji iko shingoni nimeshachoka kubeba Box.Sasa nimeona niwekeze kwenye news paper(Gazeti)Naombeni ushauri
Je tuchukue proffessional gazeti kama la mwananchi ambalo lina mambo yetu kuanzia...
Jamvini Oyee
Jamani msaada kidogo hivi mnaweza kuniambia Process za kuanzisha Construction company mpaka kupata license na kiasi gani inaweza kughalimu
Kwa kifupi kampuni yangu nataka Real estate development and costruction
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Habari ndugu na Jamaa na Marafiki
Nimerudi tena
Kwanza Kabisa Heri ya Mwaka mpya kwenu na mungu awafungulie milango ya baraka kwa Mwaka huu
Swali langu ni moja tu na ningeomba tuliangalie kwa pande zote maana linagusa kila mmoja wetu hapa janvini
Hivi juzijuzi kumekuwa na mzozo juu ya nyumba...
Bwana mchafu kuoga ni huduma nzuri na watu wengi tunahitaji hizo hduma ila undetuambia kwa kifupi elimu yakokwa faida ya watu wengine ili tujue ni nani tunakuja kumuona asante sana
Jamani mimi naishi kwenye Flat na nilikuwa na mpango wa kusajiri kampuni ila kwa kipindi kama cha miezi sita nilitaka kutumia adress ya nyumbani kwani ambayo ni flat je sheria inasemaje kuhusu hilo?inawezekana kuwa na kampuni wakati legal adress ni nyumba ya kuishi?natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.