shares

Mjasiriamali1

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
891
237
wana jf mwenye uelewa kuusu hisa anisaidie please.inafanyaje kazi?napataje faida?ni kampuni gani nzuri kuivest hisa kwa sasa?naitaji capital ya sh ngp kwa kuanzia?
 
simple nenda stock exchange,tafuta wakala,fanya research online kujua kampuni zipi zinajiendesha kwa faida,wasiliana nao,then watuka historical financial data
e.g gazeti la Juzi la Guardian NMB walibandika finacial status zao na wameongeza pato kutoka 12.... milions kuwa 19...milions ,kulinganisha na the same quarter ya mwaka 2010,so picha ya haraka haraka ni kuwa wanajiendesha kwa faida ,pia wanauongozi madhubuti.

ila Kwa sasa tanzania bado tupo nyuma sana ktk swala zima la Shares kwani viongozi wengi/directors wengi wa kampuni kubwa wanauhusiano wa karibu sana Siasa za nchi hii,mfano malumbano ya karibuni ya kampuni ya National Investment Company Limited NICOL hivyo hata wakifanya makosa ya kuwapeleka Jela itakuwa ngumu kuhukumiwa ipasvyo. As a result wanaweza kufanya maamuzi ya kisiasa zaidi kuliko kulinda interests za ShareHolders wao .
hii mada ilishajadiliwa JF checkout this thread
https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/25971-wenye-hisa-za-nicol-wameliwa-au.html
nenda hapa ujisomee hali halisi
DSE:- Listed Companies
i wish u all the best ktk ununuzi wa shares zako.
 
sh. 2000 unaweza kununua hisa moja ikakupa faida ya shilingi 250 kwa mwaka mara 1'000'000/= utapata jibu. Kama unaiacha faida inanunua hisa nyingine basi baada ya miaka 15 au 20 utaajiri watu 100
 
Si lazima useme kila kitu hata ambacho hukifaha vyema.
Uwekezaji kwenye hisa si issue ya faida tu, unaweza pia kupata hasara pale hisa zinavyoshuka bei. Hisa inakufanya uwe part ya owner na faida ya hisa inapatikana kwa njia mbili. Moja ni kupitia gawio (dividend) na pili ni kwa kuongezeka kwa bei ya hisa (capital gain. Lakini nasisitiza, hisa kama ilivyobiashara nyingine, unaweza kupata hasara pia.
Wapi uwekeze, inahitaji thorough analysis na pia huwezi kuwekeza hapo ukaacha hapo miaka yote. Inatakiwa uwe una monitor market ukiona kuna dalili ya kule ulipowekeza kuanza kuchechemea then unauza hisa kabla ya value kuporomika na kununua pengine. Kwa nature ya soko la hisa Tanzania (DSE) ni rahisi kuona nani anafanya nini na future expectations lakini in the long-run kuforesee performance itahitaji utaalam zaidi. Ila kuna hisa za kuepuka kama NICOL na hata zile za Wakenya unahitaji kujua financial market maana zinakuwa traded East Africa kwahiyo analysis ya investment yao inaweza kukusaidia kujua what next. Ila note; With the notion of efficiency market, you can hardly predict price trends
 
risk is part of business. If you hate risk then baggaroff...... Kama unataka kuwekeza inabidi kuthubutu. Hiyo 2000 ni highest price ya shares za kampuni ambazo zinafanya vizuri kama bia cement sigara benki....lakini usipeleke pesa kwenye kampuni za chai gesi nicol nk. Otherwise nunua shares za saccos 200
 
Mzee risk nimehighlight hapo kama unasoma vyema. Na risk sio kuvamia kama unavyotaka kushauri. Risk inatakiwa iwe calculated. Sio unavamia risks bila diversification kesho unafilisika. Hiyo 2000 price si indication ya performance. Ili useme kama ni valuable unatakiwa uanze kusema wakati shares zinakuwa issued wao walianzia shs ngapi na wengine walianzaje kisha tunacalculate return halafu unatupa na data za dividend. Chai inafanya vizuri kwenye soko kama ilivyo pamba sasa hivi, kwahiyo issue ni ku monitor trend na kudiversify whenever possible.
 
Kuna mawakala wa soko la hisa kama akina Orbit Securities, Core Securities, nk. Ukiwatembelea maofisini kwao wanatoa maelezo ya kina yatakayokusaidia kufanya uamuzi. Nenda jengo la Twiga kwa mfano, ambako baadhi yao wapo.
 
Si lazima useme kila kitu hata ambacho hukifaha vyema.
Uwekezaji kwenye hisa si issue ya faida tu, unaweza pia kupata hasara pale hisa zinavyoshuka bei. Hisa inakufanya uwe part ya owner na faida ya hisa inapatikana kwa njia mbili. Moja ni kupitia gawio (dividend) na pili ni kwa kuongezeka kwa bei ya hisa (capital gain. Lakini nasisitiza, hisa kama ilivyobiashara nyingine, unaweza kupata hasara pia.
Wapi uwekeze, inahitaji thorough analysis na pia huwezi kuwekeza hapo ukaacha hapo miaka yote. Inatakiwa uwe una monitor market ukiona kuna dalili ya kule ulipowekeza kuanza kuchechemea then unauza hisa kabla ya value kuporomika na kununua pengine. Kwa nature ya soko la hisa Tanzania (DSE) ni rahisi kuona nani anafanya nini na future expectations lakini in the long-run kuforesee performance itahitaji utaalam zaidi. Ila kuna hisa za kuepuka kama NICOL na hata zile za Wakenya unahitaji kujua financial market maana zinakuwa traded East Africa kwahiyo analysis ya investment yao inaweza kukusaidia kujua what next. Ila note; With the notion of efficiency market, you can hardly predict price trends
Asante mkuu umetusaidia na wengine
 
hapo kwenye nyekundu fafanua kidogo mjpmba

Kununua hisa maana yake umekubali kupata hasara au faida ktk kampuni husika ulio amua kununua hisa. Nature ya kampuni nyingi wanapenda kusocialize loss na kuprivitize profit. So loss mara nyingi inakua covered ktk wana hisa...

So jambo la busara ni kutengeneza kampuni yako na kuuza hisa za kampuni yako kuliko kununua hisa za kampuni fulani.

Hope nimejitahidi kukufafanulia. Stay blsd
 
Nimetoka orbit securities leo kutafuta prospectus ya Precision Air. wamenipa soft copy. Nikirudi home leo jioni nitaitindika hapa. Lakini kama kuna mtu anahitaji haraka, tafadhali weka email address yako hapa ili nii forward.
 
dr.andersonds@yahoo.com

mkuu naomba nami nitumie.
 
Nimetoka orbit securities leo kutafuta prospectus ya Precision Air. wamenipa soft copy. Nikirudi home leo jioni nitaitindika hapa. Lakini kama kuna mtu anahitaji haraka, tafadhali weka email address yako hapa ili nii forward.
bullaabel@yahoo.co.uk, naomba niwekee mkuu
 
Back
Top Bottom