uanzishaji wa kampuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uanzishaji wa kampuni

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by majiyashingo, Apr 28, 2011.

 1. m

  majiyashingo Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi naishi kwenye Flat na nilikuwa na mpango wa kusajiri kampuni ila kwa kipindi kama cha miezi sita nilitaka kutumia adress ya nyumbani kwani ambayo ni flat je sheria inasemaje kuhusu hilo?inawezekana kuwa na kampuni wakati legal adress ni nyumba ya kuishi?natanguliza shukrani
   
Loading...