Recent content by majiyachupa

  1. M

    Kuna shida gani barabara ya Kilwa?

    Habari, Barabara hii leo kuna shida gani? Toka saa moja na nusu asubuhi mpaka saa nne hii tumekwama kwenye foleni na magari hayasogei.
  2. M

    Tatizo la umeme kijichi

    Hizi feeder ni kila siku???? Tena mida ile ile saa mbili hadi saa nane au saba???? Na mmekata saa tatu hii nayo ni feeder? Zamani mlikuwa na wimbo wa low voltage baada ya kuchuja mmekuja na feeder Haya bana......
  3. M

    Tatizo la umeme kijichi

    Yaani wanatunyanyasa kwa kweli Imekuwa ni ratiba sasa kukata umeme na kuurudisha usiku wa manane Hapa tunalipia wangekuwa wanatupa umeme bure si tungejuta sisi
  4. M

    Tatizo la umeme kijichi

    Yaani wanatunyanyasa kwa kweli Imekuwa ni ratiba sasa kukata umeme na kuurudisha usiku wa manane Hapa tunalipia wangekuwa wanatupa umeme bure si tungejuta sisi
  5. M

    Tatizo la umeme kijichi

    Habari. Hivi tanesco hawamo.humu? Wakatueleza kero ya kukatwa umeme kijichi??? Jamani saa mbili hadi saa saba au nane usiku???? Au kuna mgao????? Maeneo gani hawakatikati nihamie maana inakera?????
  6. M

    Mnaposwali msituharibie siku na sisi wengine

    Acha uongo wewe sio mkristu
  7. M

    Mwanaume kwa asili ni Polygamist, Lazima atatafuta wa pili

    Ndio vizuri.... Wakati uko kwa mke wa pili wengine wanakunjwa vizuuri na vijana wadogo wenye nguvu zao...
  8. M

    Mwanaume kwa asili ni Polygamist, Lazima atatafuta wa pili

    Bora uwaambie... Kujifanya hawawezi mke mmoja ilhali anawatoa jasho kutwa kula mihogo mibichi.... Hebu waache mashauzi
  9. M

    Tanesco na kijichi

    Shkamoo tanesco aisee..... Mlianza kukata na kurudisha baada ya sekunde kadhaa Mkaja dakika kadhaa Majuzi mkakata kama nusu saa au saa moja Juzi usiku wa manane mkakata masaa kadhaa Jana ndio funga kazi.....toka saa nne na nusu au tano kasorobo usiku mpaka sasa haujarudi Huduma kwa wateja...
  10. M

    Kijichi hatuna umeme kwa zaidi ya masaa 30

    Yaani huku kijichi wamezidi kukata umeme Usipokatika kote watakata line mojawapo Too much Wanaudhi Wanakera Wanachefua
  11. M

    Kijichi hatuna umeme kwa zaidi ya masaa 30

    Yaani hawa tanesco sijui wanafikiri kwa kutumia nini.... Wamekata tena saa moja hii baada ya kurudisha mchana Kwa hasira hizi wanazopandisha heri kupigia kura ukawa tu Wanakera sana
  12. M

    Ndoa ya Wema Sepetu imeishia wapi?

    maneno yako inaonekana una bifu binafsi na mange.......... watanzania ni watu wa ajabu sana............
  13. M

    Ndoa ya Wema Sepetu imeishia wapi?

    unamuita mtoto wa mwenzio malaya....alitembea na baba yako?
  14. M

    Ndoa ya Wema Sepetu imeishia wapi?

    .....wivu kidonda mwanamke mange kaingiaje humu???
Back
Top Bottom