Kijichi hatuna umeme kwa zaidi ya masaa 30

Kijichi hatuna umeme kwa zaidi ya masaa 30

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,556
Hii inashangaza sana pamoja na kuwa unafanyika ukarabati wa kuhamia mitambo ya gesi lakini si kwa kiwango hiki cha ajabu toka jana sehemu nyingi tu za mji walikua na umeme, TANESCO tatizo lenu nini?Tunaishiwa hadi chaji katika simu zetu maisha yataenda vipi kwa hali hii?

Hebu tuwashieni jamani!
 
Poleni viwanda vingi hiyo line ya mpaka mbagala halafu mitambo ndio ile ile ya kitambo ndio maana majanga kama hayo yanajirudiarudia sana. Japo thats not enough excuse kwa tabu mnayopata.
 
Endelea kuchagua CCM, mtakuwa mnalia mpaka mnaenda kaburini
 
Sisi tangu juzi saa moja.asibuhi.ndio umerudi.leo saa sita hi.da.nchi yetu majanga matupu
 
Poleni.
Janga la umeme huko kwenu haliishi.


Kidumu chama cha mapinduzi
 
Yaani hawa tanesco sijui wanafikiri kwa kutumia nini....

Wamekata tena saa moja hii baada ya kurudisha mchana

Kwa hasira hizi wanazopandisha heri kupigia kura ukawa tu

Wanakera sana
 
Yaani huku kijichi wamezidi kukata umeme

Usipokatika kote watakata line mojawapo

Too much

Wanaudhi

Wanakera

Wanachefua
 
Back
Top Bottom