Tanesco na kijichi

majiyachupa

Member
Jul 5, 2011
57
11
Shkamoo tanesco aisee.....
Mlianza kukata na kurudisha baada ya sekunde kadhaa
Mkaja dakika kadhaa
Majuzi mkakata kama nusu saa au saa moja
Juzi usiku wa manane mkakata masaa kadhaa
Jana ndio funga kazi.....toka saa nne na nusu au tano kasorobo usiku mpaka sasa haujarudi

Huduma kwa wateja wanadai kuna tatizo tmk haijulikani kama utarudi.....

Hapa tushajipepea na magazeti...kanga.....maboksi bado kwenda kulala vibarazani tu

Heshima kwenu aisee.
 
Yaani Mimi nimepiga simu mpaka nimechoka nasubiri rehema za mungu tu kuna tamthilia yangu star TV Leo sitaiona shikamoo tanesco
 
Back
Top Bottom