Recent content by Majivu123

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

    Akianza kukatwa marejesho atapata mshahara mdogo hivyo jiandae kumuhudumia Mambo madogo madogo
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume oeni yatima, hamtojutia

    Una kitu usikilizwe
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa makavu mpenzi wangu

    Acha ufala umempa makavu au umempa elfu 15?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaipiku NMB na kuwa Benki kubwa zaidi Tanzania

    Umeeleza Kisomi Sana...hongera kwa kuliona hilo
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Brother kaongeza mke wa pili, nimefurahi sana

    Niliposoma heading nkajua bro kakuachia mke wa kwanza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Njia mpya ya wizi tuwe makini, epuka kutapeliwa

    Mbona Kama wewe umehusika? Ningekuwa mimi huyo boda braza ungenilipa tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

    Acha ushamba fala wewe....dume zima mil 30 miaka miwili unaanza kutusi watu ushamba unakusumbua
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watendaji na wenyeviti wa mitaa/Kijiji huuza huduma za kiutawala kwa wananchi?

    Mbona hujazungumzia mahakamani pia? Affidavit pamoja na kucertify documents unalipia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

    Sasa milioni 30 kwa miaka miwili ndo unajiona umetoboa Sana Hadi kutusi watu? Ela mbuzi Sana hiyo kwa mkulima aliye siriazi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Moyo wangu unauma sana

    Wakifa utapata faida gani? Fikiri Mara mbili kabla hujafanya Hilo azimio lako...ni Mara kumi umfanyizie akiwa mbele za watu ni full kujamba Kama nyegere
  11. M

    JamiiForums Tanzania AZAM TV na Bodi ya Ligi mnatuibia pesa watazamaji wa ligi kupitia king’amuzi chenu

    Ukiangalia fixtures mfano timu inacheza tarehe 04.10.2023 then inakuja kucheza Tena trh 22.10.2023 na inacheza game 3 ndani ya siku 6 Sasa huo Kama sio upumbavu ni Nini? Kwanini wakae wiki 3 bila kucheza then uje kumjazia mamichezo mengi ndani ya mda mfupi? Mpira wa bongo ili ukuwe Kuna mijitu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania AZAM TV na Bodi ya Ligi mnatuibia pesa watazamaji wa ligi kupitia king’amuzi chenu

    Upo sahihi kabisa wanaboa sn hawa viumbe yani uhuni wa waziwazi
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya uzi wangu wa kutafuta mchumba (mke) niliowahi post

    Hivi huko unapoishi hakuna wadada Hadi utafute mke jf? Naona Kama unabet kijana then kesho kesho kutwa uje na bandiko la kulalamikia wanawake..
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatishia kunywa sumu au vidonge

    Ila umenichekesha ulivyoamua kuzira kula nyumbani na kutoongea na mtu? Vipi papuchi unapiga au nayo umeizira?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

    Kupanda kwa gharama za bundle, kupanda kwa Bei za mafuta kila jumatano ya kwanza ya mwezi, kukosekana kwa mafuta, kukosekana kwa dollar, kukatika kwa umeme kila Mara Hadi zaidi ya masaa 12 kwa siku, kuteua na kutengua kila Mara huku utendaji ukibaki uleule, etc etc etc
Back
Top Bottom