Recent content by majige05

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuhusu haya mabadiliko ya grades za ufaulu?

    Cyo kweli ukweli huu hapa 80_100 A, 75_79 B, 64_74 C ,55_63 D, 45_54E ,40_44S, 0_39F
  2. M

    JamiiForums Tanzania WanaChadema wanaendesha kampeni katika mitandao ya WhatsApp Magufuli ashindwe tuzo ya FORBES 2016

    Wataisoma mm tayar magufuli amepata asilimia yangu maana hata watanzania wenyewe washawajua ni jinsi gan wasivyojitambua wapeni pole yao . asilimia za ushind tayar kashachukua waje labda na jambo jingne lakn kwangu hawana nafasi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Student's unlimited freedom

    Bora dhambi watatubu kuliko dhambi wanayoipata kwa kuziakiwa kuitwa majina yacyokuwa na nafasi katika jamii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Student's unlimited freedom

    Nmeipenda hyo walimu timizeni jukumu ambalo watu weng wanadhani mwalimu kaz take ni kufundsha tu. Tuone kizazi kitakachotokea
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    Kwann hujaona wala hujackia? Mnafiki kweli
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    Ngoja tuone ni tamko gani wanafiki watakalolitowa maana lawama ni kwa walimu wala ci wazazi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

    upo sawa kabsa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

    upo sawa kavsa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wamechukia uamuzi wa Rais kuagiza wananchi waruhusiwe kuchekecha mchanga wa Migodi?

    kuwatetea wananchi mlioyafanya mnadhan tumefurah mnapgania ufsad huku ufsad mnao ndan yenu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wamechukia uamuzi wa Rais kuagiza wananchi waruhusiwe kuchekecha mchanga wa Migodi?

    hawana jpya hao washaboronga wamebak kutapatapa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

    watu wakifanikiwa hawakos kasaro hvyo bac awagawie mafukara pesa zote alizozpata kupitia huo mzk ili tujue kweli ametubu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndalichako kama hoja ni kupata graduates wasiokuwa na viwango basi Ungefanya hivi

    fikiri kabla ya kupost ndugu ukisema ili mtu aendelee lazma awe na GPA ya 2.7 ni wangap watabaki vyuon hapo asilimia kubwa watakuwa wanarud makwao na wanapoteza pesa xa bure inaonekana huujui mtiti wa chuo ndugu pole sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ukiona nyoka anatikisa mkia jua tayari umeshaponda kichwa

    hilo nalo neno@ gimmy
  14. M

    JamiiForums Tanzania If you are married dont miss this story

    no one is perfect
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Maua Seminary katika picha

    kifungilo
Back
Top Bottom