Recent content by majid hussen

  1. majid hussen

    JamiiForums Tanzania "Meli ya Mgiriki Mzamiaji (Stowaway) haingii"

    Na mshikaji wangu Alizamia meli south Africa ilipofika libya wakadakwa wakarudishwa bongo hakarud tena south Africa wakadanda meli ikaenda kumwacha katika kisiwa cha mayote Ambacho kipo chini ya serekali ya ufaransa Aliishi hapo kama miaka mitatu kisha Akaingia ufaransa sasa yupo ufaransa...
  2. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 26 sasa nimepambana vya kutosha bila ya mafanikio

    Njoo moshi tupande mlima kilimanjaro kama pota baadae ukipata hela na uzoefu uwende mweka ukasome kozi ya kuongoza watalii ili uwe kiongozi wa msafara n.k mlima umewapa watu maisha kikubwa kukaza tu
  3. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kuishi na marafiki chumba kimoja hebu nipeni uzoefu wenu

    Unaweza kuishi na friend kama tabia mnafanana na uwezi kuishi na friend kama tabia Amfanani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu hapa Johannesburg

    Me nataka kuingia hapo soon cape towt pako vipi nipe abc kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  5. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza Samsung grand prime 7 Laki 250000
  6. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Tupeane dondoo za nchi mbalimbali tulizowahi kutembelea ikiwa ni Fursa na Changamoto

    Hivi visa ya Spain ngumu kupata au
  7. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Tupeane dondoo za nchi mbalimbali tulizowahi kutembelea ikiwa ni Fursa na Changamoto

    Na nchi kama Spain ipo vipi mwenye kujua Anipe ditel zake
  8. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Msafiri kafiri hakuna kukata tamaa
  9. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Hivi amna mtu mwenye app ya kutafuta mabibi na wachumba wa kitasha
  10. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Mimi nilikuwa lyamungo sema best yangu Mfinanga alikuwa umbwe dah nilimkuta anataka kupigwa mapanga na washikaji wa lyamungo ilibidi nimwokoe Alisepa peku peku adi town
  11. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Hapana hapo walikuwa mafia kibao
  12. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Kuna jamaa alikuwa anaitwa radislaux alikuwa mbabe sana alikuja kufatwa na polisi wa boma alifungwa pingu na kusepa nae alikuwa na wenzie kazaa dah hatri sana kwenda kombo kula mbege ndizi na mataka taka mengine
  13. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Alikuwa kaka yako
  14. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Wengine wa umbwe walipata vilema vya maisha kaka bifu la hatari sana
  15. majid hussen

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Umbwe vijina wadogo nyie nakumbuka kuna siku mlikuja lyamungo kuleta fujo adi mwenzenu alikufa
Back
Top Bottom